Corona Lyrics
Corona Lyrics by MAUA SAMA
Kinga we na wengine
Dhidi ya janga la Corona
Maisha kuyatishia eeey
Elimu tuelimishane
Taifa tulikingeje
Kwa mwenye kujua
Kirusi hatari kimevamiaga
Maji masafi na sabuni nawaga
Wote twashauriwa mikono kutopeana
Kichwani maumivu mafua kubanwa na mbavu
Kooni vidonda pia
Safari tusitishe, sanitizer tuzitumie
Vaa mdomo na pua
Corona Corona eeh
Tulindane ili tusieneze
Corona Corona eeh
Pindi upatapo dalili zake
Corona Corona eeh
Kutoa taarifa kituo cha afya
Corona Corona eeh
Bila kurunda inawezekana
Inasambaa sambaa kwa hewa
Hivyo ukikohoa ukipiga chafya
Zuia kwa kitambaa kisafi
Inasambaa sambaa kwa hewa
Hivyo ukikohoa ukipiga chafya
Funika kwa kirikoo si kiganjani
Kushare share vitu jamani tuwache (Tuwache)
Kuomba maji sigara jamani tuwache (Tuwache)
Na ukigundua una dalili toa ta taarifa
Kuwakinga wengine wasiumie, wasiumie wasiumie
Ama ukigundua wana dalili toa ta taarifa
Kuwakinga wengine wasiumie, wasiumie wasiumie
Corona Corona eeh
Tulindane ili tusieneze
Corona Corona eeh
Pindi upatapo dalili zake
Corona Corona eeh
Kutoa taarifa kituo cha afya
Corona Corona eeh
Bila kurunda inawezekana
Watch Video
About Corona
More MAUA SAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl