Mususu Lyrics
Mususu Lyrics by HAMADAI
Napenda sangara shomboshombo (mmmh shomboshombo)
Kwetu kilakala yomboyombo (mmmh yomboyombo)
Kwa bibi machame romborombo (mmmh romborombo)
Vipi utalala au ndo uwongo (mmmh au ndo uwongo)
Mususu huyu mtoto mususu mtamtam
Aah aah mtam tam
Mabusu yani mambo ipo huku bam bam
Ayee ayee ayee bam bam
Asa fanya hivyo niongezee (ayee ayee)
Sijashiba nipe nikombelezee (ayee ayee)
Fanya hivyo niongezee (ayee ayee)
Sijashiba nipe nikombelezee (ayee ayee)
Kenyewe kapo laini laini yani rojoo rojoo
Akibong’oa namba nine ih mie gojooo gojoo
Anautaka jamani wee mkongojooo ngojoo
Tule tushibe ye na mimi masotojooo tojooo
Mususu huyu mtoto mususu mtamtam
Aah aah mtam tam
Mabusu yani mambo ipo huku bam bam
Ayee ayee ayee bam bam
Asa fanya hivyo niongezee (ayee ayee)
Sijashiba nipe nikombelezee (ayee ayee)
Fanya hivyo niongezee (ayee ayee)
Sijashiba nipe nikombelezee (ayee ayee)
Huyu motto fundi bwana (anaamisha)
Anaamisha (anaamisha)
Anaamisha mwenyewe (anaamisha)
Anaamisha (anaamisha)
Anatoa mbele anaweka nyu ayaa (anaamisha)
Anaamisha (anaamisha)
Hata simuwezi mimi (anaamisha)
Anaamisha (anaamisha)
Watch Video
About Mususu
More HAMADAI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl