Woyo Lyrics by DAXO CHALI


Mbawaki sicheki nao
Masikani sichezi bao
Look how am flipping now
Babes are screaming wow

--
Naspit -- right now
Nasikia unafuck around 
Nishafika f*ck around, tuone

Checkshia navyo nacha na beat
Nachana nanemba na switch
Moto bati kama tick
Nawasha ka moto wa kibichi

Kwenye game nina A CV
--
--

Bigiri ya, bigiri yechu yechu
Niende wapi, mie msalama
Na Bongo ndio kwetu kwetu
Wakileta shobo mlishe mpoto
Nawapita pekupeku

Tuliwasikia, tukawapatia na njia
Hizo ndo zetu
Sitaki mabaki ya lo
Bora ni baki ya loan

Siku hizi ukiniona masaki masaki
Nakuna kingine naball
Kwa chai si naomba glow
Sikai sema ina doh
Wananiwakia madem kibao 
Na siwakanyagi halo

Tunapop bottles 
We unaleta moja moja
Waiter leta nyingi 
Na mizuka itakungoja

Tunapop bottles 
We unaleta moja moja
Waiter leta nyingi 
Na mizuka itakungoja

Woiyooo....
Woiyooo....
Woiyooo....
The Golden street tumerudi tenaa

Tu mkuti mkuti tuna ball ball
Na pop bottles sio --
Niite champagne, niite bombain
Niite chupa za kuwasha moto

I heard my nigga you hated me
Where is the reson I don't know
Hivi unajuaga unaongea na baba yako
Ball boss funga domo

Like sip sip sip
We drip drip drip
Look at you, look at your flows
Weak weak weak weak

Una pressure huh, kiu bro
I be sit sit sit
Umepanic aha 
I be drink, okey drink drink drink

Now you know babu toka mbali
Usituone hapa tumetoka mbali
Tushasettle sana kwenye jua kali
Ati you need a battle pande za bahari

Acha wana wale tungi
Baadae flani uchase vumbi
Usione madem wanadanga danga
Ni mitaa yao kumi kumi

Tunapop bottles 
We unaleta moja moja
Waiter leta nyingi 
Na mizuka itakungoja

Tunapop bottles 
We unaleta moja moja
Waiter leta nyingi 
Na mizuka itakungoja

Woiyooo....
Woiyooo....
Woiyooo....
The Golden street tumerudi tenaa

Tunapop bottles 
We unaleta moja moja
Waiter leta nyingi 
Na mizuka itakungoja

Watch Video

About Woyo

Album : Woyo (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 24 , 2019

More DAXO CHALI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl