Niongozwe Nawe Lyrics
Niongozwe Nawe Lyrics by NEEMA GOSPEL CHOIR
Ninaomba uende nami
Uongoze hatua zangu
Bila wewe, mimi siwezi
Uongoze hatua zangu
Ninaomba uende nami
Uongoze hatua zangu
Ninaomba uende nami
Uongoze hatua zangu
Bila wewe, mimi siwezi
Sitaweza usipoenda nami
Bila wewe, mimi siwezi
Sitaweza usipoenda nami
Kama hauendi nami Usinitoe hapa
Peke yangu sitaweza Usipoenda nami
Kama hauendi nami Usinitoe hapa
Peke yangu sitaweza Usipoenda nami
Mahali hapa sikutaka Ili niheshimiwe
Nayanikute mateso Sawasawa nawe
Mahali hapa sikutaka Ili niheshimiwe
Nayanikute mateso Sawasawa nawe
Niongozwe nawe Bwana
Tangulia mbele
Unifate nyuma
Niongozwe nawe Bwana
Tangulia mbele
Unifate nyuma
Niongozwe nawe Bwana
Tangulia mbele
Unifate nyuma
Niongozwe nawe Bwana
Tangulia mbele
Unifate nyuma
Niongozwe nawe Bwana
Tangulia mbele
Unifate nyuma
Niongozwe nawe Bwana
Tangulia mbele
Unifate nyuma
Niongozwe nawe Bwana
Tangulia mbele
Unifate nyuma
Niongozwe nawe Bwana
Tangulia mbele
Unifate nyuma
(Ongoza) Hatua zangu
Watch Video
About Niongozwe Nawe
More NEEMA GOSPEL CHOIR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl