Hatutaogopa Lyrics by NEEMA GOSPEL CHOIR


lbadilike hii nchi yote
Itetemeke milima yote
Mungu kwetu ni kimbilio
Hatutaogopa
lbadilike hii nchi yote
Itetemeke milima yote
Mungu kwetu ni kimbilio

Hatutaogopa
Hatutaogopa, Hatutaogopa
Mungu kwetu ni kimbilio
Hatutaogopa
Hatutaogopa, Hatutaogopa
Mungu kwetu ni kimbilio
Hatutaogopa

Mateso yaje maji yavume
Wafalme wote waghadhabike
Mungu kwetu ni ngome yetu
Hatutemeshwi
Mateso yaje maji yavume
Wafalme wote waghadhabike
Mungu kwetu ni ngome yetu
Hatutemeshwi
Hatutetemeshwi, Hatutetemeshwi
Mungu kwetu ni ngome yetu
Hatutetemeshwi
Hatutetemeshwi, Hatutetemeshwi
Mungu kwetu ni ngome yetu
Hatutetemeshwi

Hatutaogopa, Hatutaogopa
Mungu kwetu ni kimbilio
Hatutaogopa
Hatutaogopa, Hatutaogopa
Mungu kwetu ni kimbilio
Hatutaogopa

Watch Video

About Hatutaogopa

Album : The Sound of Ahsante (Album)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Apr 20 , 2022

More NEEMA GOSPEL CHOIR Lyrics

NEEMA GOSPEL CHOIR
NEEMA GOSPEL CHOIR
NEEMA GOSPEL CHOIR
NEEMA GOSPEL CHOIR

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl