Angekuona Lyrics
Angekuona Lyrics by ASLAY
Yaani raha hata tukilala na njaa
Kila saa nakuona mpya mami
Tena raha huku ninavimba kitaa
Unang'aa hata kwenye giza mami
Basi tulia eeh, kama maji kwenye mtungi baby
Nitakulea eeh, ilimradi unipe heshima
Kama mbolea eeh, nitatia ili unawiri sana
Nimekuzoea eeh, ukiniacha itaniuma sana
Ooh I wish angekuona (Maa mama)
Angefurahi mama (Maa mama)
Eh mama yangu mama (Maa mama)
Angefurahi mama (Maa mama)
Ninavyomjua mama, angekupa vitenge
Tena bila hiyana na kikapu cha embe
Ana viwanja mama, angekupa ujenge
Na ukirudi kwangu, mpasue mhogo wa jang'ombe
Umeondoka mama imekuja zawadi
Nabaki nalia nalia sina budi
Usije nitupa mwana naogopa dhambi
Ila nakuombea ulale pema kwa God
Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby
Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima
Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana
Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana
Ooh I wish angekuona (Maa mama)
Angefurahi mama (Maa mama)
Eh mama yangu mama (Maa mama)
Angefurahi mama (Maa mama)
Mama mama mama (Maa mama)
I wish angekuwepo mama (Maa mama)
Lolo lo lo lo lo (Maa mama)
Uko wapi mama? mama mama mama
Nakukumbuka mi mwanao eeh
Ma mama, ma mama
Watch Video
About Angekuona
More ASLAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl