Nibebe Lyrics
Nibebe Lyrics by ASLAY
Labda mapenzi yawaumiza roho zao
Eti kwengine sipati sijiwezi
Ndo maneno wasema
Kwamba kwako sifurukuti sijiwezi
Ndivyo hivyo wanavyosema
Na mimi nanyamaza kimya nakupenda
Naogopaa nikikuona nakuwa kimya
Sina cha kusema nakupenda
Labda sinaga faragha
Nashuka kupanda ila nakupenda
Mimi kwako ni mjinga
Sinaga ujanja waache wanaoponda
Kama chumba mi dalali (Ahh)
Penzi letu lifike mbali (Ahh)
Nibebe bee (Nakupenda usiwe na makuu)
Baby nibebe bee (Hata kama nikining'iniza miguu)
Nibebe bee (Wanataka niwe chini wao juu)
Mpenzi wee nibebe bee (Ahh ahh)
Nimesikia wamekuundia na group, matusi matupu
Wanakunyanyasa wanakutukana jitoe
Usiwe mchonga vinyago utanifilisi
Mwisho wa siku tukigombana ikawa hadithi
Wee kitumbo mbelembele kwa kuku na chipsi
Usiyeacha hata mifupa utakuwa fisi
Kama chumba mi dalali (Ahh)
Penzi letu lifike mbali (Ahh)
Nibebe bee (Nakupenda usiwe na makuu)
Baby nibebe bee (Hata kama nikining'iniza miguu)
Nibebe bee (Wanataka niwe chini wao juu)
Mpenzi wee nibebe bee (Ahh ahh)
Nibebe bee (Nakupenda usiwe na makuu)
Baby nibebe bee (Hata kama nikining'iniza miguu)
Nibebe bee (Wanataka niwe chini wao juu)
Mpenzi wee nibebe bee (Aaah aaah)
Watch Video
About Nibebe
More ASLAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl