Utarudi Lyrics
Utarudi Lyrics by CHEGE
[VERSE 1]
Kuwa na heshima
na ustaraabu
Ficha makucha yako
Kuwa na adaabu
Mafunzo ya mama
ndio lako jawaabu
Tumia kama kinga
usi yadharaauuuuuu
Wala ndoa sio jela
Sio jela
Una kwepa ukapeela
Ukapela
Wala ndoa sio jeelaa
Sio jelaaa
Una kwepa ukapelaa
Ukapela
Wengine wanakosaga ndoa
Kwa tabia chafuuu
Binti tulia na mumeo
Baridi baarafuuu
[CHORUS]
Aiya iya umeolewa
utarudi nyumbani kutembea
Aiya iya umeolewaa
Umeoleewa
Aiya iya umeolewa
Utarudi nyumbani kutembea
Aiya iya umeolewaa
Umeoleewa
Kwaheri baba na mama
Kuonana majaliwa
Aiya iya umeolewa
Umeolewa
Kwaheri ndugu zangu kuonana majaliwa
Aiya iya umeoleewa umeoleewa
[VERSE 2]
Wameshikana mikoono
Wamesimama
Wakina mama wale
Wakina baba wale
Nawaona wajomba wale
Mashangazi wale
Wanapiga vigere gere kwa furaha
Aaaaaaah
Zawadi za kumwaga wana mwaga
Aaaaah
Ukiwa kwako kuwa mvumiliivu
Rafiki yako awe mume wako
Uuuuuu uuuu uuuuu
Maisha yako sasa ni yakwakee
Watoka kwenu leo waenda kwakoo
Uuuu uuuu uuuu
[CHORUS]
Aiya iya umeolewa
Utarudi nyumbani kutembea
Aiya iya umeoleewa umeoleewa
Aiya iya umeoolewa
Utarudi nyumbani kutembea
Aiya iya umeoleewa umeolewa
Kwaheri baba na mama kuonana majaliwa
Aiya iya umeolewa umeolewa
Kwaheri ndugu zangu kuonana majaliwa
Aiya iya umeolewa umeoleewa
[BRIDGE]
Aye aye aye aye
Aye aye aye aye
Wameshikana mikoono......
Wamesimama.....
Wameshikana mikoono......
Wamesimama......
Wazazi wanalia kwa furaha
Wazazi wanalia kwa furaha
Leo ni furahaaa
Uuuu uuuu uuuuu
Uuuu uuuu uuuuu
Watch Video
About Utarudi
More CHEGE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl