Sina Baya Lyrics
Sina Baya Lyrics by MARIOO
Mmmmh baaaad
Shiii
Mnanipenda yes papa, aaah yes papa
Mnanikubali yes papa, eeeeh yes papa
Si Mnanipenda yes papa, aaah yes papa
Mnanikubali yes papa, eeeeh yes papa
Ah sina noma na dangote
Sina noma na king kiba
Sina nome na konde boy
Sina noma na vanny boy
Nikisema mmmmh marioo
Mnasema aaaaah huna baya
Sema mmmmh marioo
Aaaaaah huna baya
Chiii
Chukutu chukutu chukutu, chukutu chukutu
Kukutu kukutu kukutu kukutu kukutu
Shuu shuu shuu shukushuuu
Shuu shuu shuu shukushuuu
Ayii
Ah nikisema mmmh
Chiii
Yani kamba juu ya kamba miva kama fei toto
Kila kona me natamba mawe yote ya moto
Masala wangu oooh tulewe leo
Ooooh tulewe leo
Masala wangu oooh tukunywe leo
Ooooh tukunywe leo
Sina noma na chibudenga
Sina noma na king kiba
Sina noma na konde boy
Sina noma na chui
Nikisema mmmmh marioo
Mnasema aaaaah huna baya
Sema mmmmh marioo
Aaaaaah huna baya
Chiii
Chukutu chukutu chukutu, chukutu chukutu
Kukutu kukutu kukutu kukutu kukutu
Shuu shuu shuu shukushuuu
Shuu shuu shuu shukushuuu
Mmmmh baaaad
Watch Video
About Sina Baya
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl