Show Time Lyrics
Show Time Lyrics by CHEGE
Kuanza siku lazima kucheza
Naamini ukinipa mwenzako nitaweza
Mguu juu ya kitanda na mwingine juu ya meza
Booster we nyonga ukaikata
Ju kuna hakuna wengi wanaikata
Ona Mwajuma kaja na dera
Fatuma kaja na kanga
Na Juma kaunga tela
Kashikwa kamwaga shanga
Shika mumeo mama ogopa paparazzi
Badala ya video mama milango iko wazi
Coz I wanna make you dance, I wanna make you dance
Coz I wanna make you dance, I wanna make you dance
Show time, show time
Show time, show time
Show time, show time
Show time, show time
Mama shika mabega
Ukicheki leta shida
Ukiketi onyesha figa
Ukinipa yote shida
Usibane kipapatio
Nataka kula ka kwio
Usibane kipapatio tena
Nataka kula ka kwio
Naviweka kidona
Dona dona, dona dona
Ukinipa nadona
Dona dona, dona dona
Shika mumeo mama ogopa paparazzi
Badala ya video mama milango iko wazi
Coz I wanna make you dance, I wanna make you dance
Coz I wanna make you dance, I wanna make you dance
Show time, show time
Show time, show time
Show time, show time
Show time, show time
Show show time mama, na watoto wake tell me
Unavyobiringa biringa bayoyo
Hivyo vile mum mpaka down, down

Watch Video
About Show Time
More CHEGE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl