Kiuno Lyrics by MAKOMANDO


Bila kimini, kikuku chini 
Yuko na mimi tunakesha popopooo
Eti lamboghini sasa za nini
Wakati queen kazoea mikokoo

Taratibu mama ina tight
Show inaanza morning mpaka night
Mpaka usoni nina ma love bite
Nina shindwa lalalalalaaa

Gizani wee taa 
Unanimulika
Please don't go far
Unanimaliii

Nataka kuona kiuno
Nataka kuona kiuno
Nataka kuona kiuno
Nataka kuona kiuno


Fredwayne (New Boy)

She got a gwan mama
Fanya kama una inamaa
Sauti flani kama Rihanna
Unavyo bougy diggy ghetto tuna minyana

Code za miner kiuno cha daina
Style zote like woo, wee designer
Bila shepu la China
Ebu rewind that

Unavyosakata sakata
Wee ni zaidi yao

Mama ndo wee, mama ni wee
Unanituliza tuliza mama wee
Mama ndo wee, mama ni wee
Unanituliza tuliza mama wee

Nataka kuona kiuno
Nataka kuona kiuno
Nataka kuona kiuno
Nataka kuona kiuno...

Watch Video

About Kiuno

Album : Kiuno (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 08 , 2020

More MAKOMANDO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl