Shemeji Lyrics
Shemeji Lyrics by DOGO RAMA
Dogo Rama na Best Naso
Shivo!
Nashukuru kaka umerudi tena uko salama
Nina mambo mengi leo nataka kusema
Umenitoa kijijini nije mjini kusoma
Haya ninayopitia hadi moyo wangu nasonona
Chakula changu usiku sili asubuhi wala mchana
Ukirudi usiku anaact ananipenda sana
Chakula changu usiku sili asubuhi wala mchana
Ukirudi usiku anaact ananipenda sana
Shemeji yangu mbaya ananitesa ananinyanyasa
Shemeji yangu mbaya ananitesa ananinyanyasa
Shemeji yangu mbaya ananitesa ananinyanyasa
Shemeji yangu mbaya ananitesa ananinyanyasa
Mdogo wangu pole hayo yote sikuyajua
Nilijua mwema huyu mwanamke kumbe mbaya
Mwanzo alinipa sana ripoti zako
Akisema mjeuri mdogo wako
Na akasema nikurudishe kwa baba na mama
Sio siri nilikuchukia sana
Nilipumpiwa eti unajichanganya na makundi mabaya
Umekuwa mbaya mpaka unavuta na bangi
Nikasema nisubiri kidogo nisikufukuze
Kwanza nichunguze, na leo nimegundua sasa
Shemeji yako ndo mbaya
Shemeji yangu mbaya ananitesa ananinyanyasa
Shemeji yangu mbaya ananitesa ananinyanyasa
Shemeji yangu mbaya ananitesa ananinyanyasa
Shemeji yangu mbaya ananitesa ananinyanyasa
Watch Video
About Shemeji
More DOGO RAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl