Shangingi Mtoto Lyrics
Shangingi Mtoto Lyrics by ASLAY
Shangingi mtoto, shangingi mtoto
Hakamatiki kila cha mchana, shangingi mtoto
Ooh shangingi, shangingi mtoto
Na tabia yake au tuseme ni fashion
Ukimwona pochi kubwa kumbe kabeba lotion
Ndio tabia yake au tuseme anapenda kiki
Akifaa anawaza ukimwita anajiona keki
Ndio tabia yake, ukweli wa moyo unasema ajabu
Ukimsifu mzuri, mwenzako anajiona wema mama
Asipitwe na jambo ana mineno ya shombo
Wangu anaumwa tumbo na jana amepigwa mtungo
Shangingi iyee, shangingi mtoto
Analojua kuku ameidaka mwewe, shangingi mtoto
Le le shangingi, shangingi mtoto
Haya haya sipigi, shangingi mtoto
Lelelele...lololo
Shangingi mtoto mpenda kutamba
Ana sifa mtaani
Kwenye shughuli anatunza kitanda
Ye mwenyewe analala chini
Hauna jambo umebuma wanakuita nyani mbwembwe
Sio wa madhara sio wa lala ndoo
Ye kutwa kwa Mpalange
Tabia yake mtandaoni kuvimba
Kwa mbwembwe anacommenti kumbe ngeli yala si simba
Ovyo
Amepagawa, amepagawa
Kauza nyumba kanunua gari kaona sawa
Amepagawa, amepagawa
Kauza gari, kanunua simu kaona sawa
Eeh shangingi, shangingi mtoto
Shangingi, shangingi mtoto
Shangingi, shangingi mtoto
Mzuka ukipanda piga makofi wewe, piga makofi
Mzuka ukipanda piga makofi wewe, piga makofi
Doze doze taratibu, wewe taratibu
Taratibu, taratibu, taratibu, taratibu..
Eeh mpaka chumba unainama unalala
Kidogo nipe mambo, unainama unalala
Kama umetoka Congo unainama unalala
Unipe cha mganga, unainama unalala
Watch Video
About Shangingi Mtoto
More ASLAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl