LINEX SUNDAY MJEDA Cassanova cover image

Cassanova Lyrics

Cassanova Lyrics by LINEX SUNDAY MJEDA


Siko na doh siko na show
Nina madeni sijui nitalipaje
Sina wife, 
Nilikuwa na kamanzi tu kaniende

Kuna kipindi sijiui nitakulaje
Kodi ya nyumba mi nitalipaje?
Isikudandanye kwa picha 
Mi nazoposti kwa Insta

Tukiwa ndege tufanane
Tutaruka pamoja oh nah nah nah
Am in love mwenzako 
Oooh beiby I go die for you

Nitaambnia nini watu
Na bado vile mi napanda matatu
Nitaambnia nini watu?(Ooh beiby)
Bado napanda matatu (Ooh beiby)

Try me, beiby lemme be your lover
Na lile penzi la msichana mrembo
Asiye na mfano kwenye dunia yako
Oooh Cassanova

Try me, beiby lemme be your lover
Na lile penzi la msichana mrembo
Asiye na mfano kwenye dunia yako
Oooh Cassanova

Bado naamini kwenye mapenzi ya kweli
Ndio maana sikulishi 
My mia Dar, upake ndumu na pilipili
Mtoto wa pili

Nisikudanganye naishi apartment
Eti hii ni investment
Naonana na watu kwa appointment
Itakucost, lemme be honest

Hata nikikaa bar siagizi baba
Pombe zangu unga unga za vibaba 
Nisije ula wa chuya
Kama mbegu sikwambii chagua

Isikudandanye kwa picha 
Mi nazoposti kwa Insta

Tukiwa ndege tufanane
Tutaruka pamoja oh nah nah nah
Am in love mwenzako 
Oooh beiby I go die for you

Nitaambnia nini watu
Na bado vile mi napanda matatu
Nitaambnia nini watu?(Ooh beiby)
Bado napanda matatu (Ooh beiby)

Try me, beiby lemme be your lover
Na lile penzi la msichana mrembo
Asiye na mfano kwenye dunia yako
Oooh Cassanova

Try me, beiby lemme be your lover
Na lile penzi la msichana mrembo
Asiye na mfano kwenye dunia yako
Oooh Cassanova

Cassanova ooh cassanova
Beiby try me, try me 


About Cassanova

Album : Cassanova (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 13 , 2020

More LINEX SUNDAY MJEDA Lyrics

LINEX SUNDAY MJEDA
LINEX SUNDAY MJEDA
LINEX SUNDAY MJEDA
LINEX SUNDAY MJEDA

Comments ( 0 )

No Comment yet

You May also LikeAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl