Olah Lyrics by LINEX SUNDAY MJEDA


Ashanipendaga akanipa mapenzi bila laana
Ashanizoesha kunipa penzi lake bila karaha
Japo yuko fire, fire, Japo yuko fire, fire
Japo yuko higher and fire

Mtoto maji moto kwa moto moto
Mahari nimetoa na ziwe za bato
Bado katoto nakaoa kesho
Nauaga ubachelor natulia ghetto

Mpaka najisahau, naona kama naishi dunia nyingine
Olah olah olah olah
Nikupeleke kwa mama Sunday
Olah olah olah olah
Tukale ugali na Sunday
Olah olah olah olah
Dagua kidogo mkebuka mawese
Olah olah olah olah
Nakuku ila we si kicheche

Basi jua mara kupendwa
Wanatoa toa tu kitaa
Ma ex wamepata dawa yao
Wanadiss diss tu kitaa
Ndo kazi yao, olah, hao
Yaani utadhani mapenzi ninayaanza leo
Yaani utadhani mapenzi nimeanza leo

Ashanipendaga akanipa mapenzi bila laana
Ashanizoesha kunipa penzi lake bila karaha
Mpaka najisahau, naona kama naishi dunia nyingine
Olah olah olah olah
Nikupeleke kwa mama Sunday
Olah olah olah olah
Tukale ugali na Sunday
Olah olah olah olah
Dagua kidogo mkebuka mawese
Olah olah olah olah
Nakuku ila we si kicheche

Mtoto maji moto kwa moto moto
Mahari nimetoa na ziwe za bato
Bado katoto nakaoa kesho
Nauaga ubachelor natulia ghetto

Olah olah olah olah
Nikupeleke kwa mama Sunday
Olah olah olah olah
Tukale ugali na Sunday
Olah olah olah olah
Dagua kidogo mkebuka mawese
Olah olah olah olah
Nakuku ila we si kicheche

Watch Video

About Olah

Album : Olah (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 13 , 2021

More LINEX SUNDAY MJEDA Lyrics

LINEX SUNDAY MJEDA
LINEX SUNDAY MJEDA
LINEX SUNDAY MJEDA
LINEX SUNDAY MJEDA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl