Siongei Nae Lyrics
Siongei Nae Lyrics by LOMODO
Siku hizi sionge nae
Siku hizi naishi mwenyewe
Siku hizi nalala mwenyewe aaahh
Kitambo mi siko nae kaniblock sichat nae
Siku hizi mi nalala mwenyewe
Na hata mkiniona barabarani
Naongea mwenyewe sababu ni yeye
Yaani kama mkiniona barabarani
Naongea mwenyewe sababu ni yeye
Kweli mapenzi uchizi kweli mapenzi ukichaa
Nakosa raha naongea mwenyewe
Jamani mapenzi uchizi mwenzenu nachanganyikiwa
Nakosa raha naumia eeehh
La la la la laah
Laa la la la iyeeh
La la la la laah
Yaani mwenzenu naumiaa
La la la la laah
La la la la laah
Na sio kama alipotaka kutoka
Na mashoga zake nilimkataa
Na hata kama alipotaka kitu
Sikumnyima Hapana nilimpa
Sasa yana faida gani mapenzi unajitoa kwa mtu
Mwisho unaambulia patupu patupu
Yaani lama fundi ujenzi nimemjengea mtu
Kwangu nabaki kapuku kapuku
Kweli mapnzi uchizi kweli mapenzi ukichaa
Nakosa raha naongea mwenyewe
Jamani mapenzi uchizi mwenzenu nachanganyikiwa
Nakosa raha naumia eeehh
La la la la laah
Laa la la la iyeeh
La la la la laah
Yaani mwenzenu naumiaa
La la la la laah
La la la la laah
Watch Video
About Siongei Nae
More LOMODO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl