
Too Much Lyrics
...
Too Much Lyrics by LOMODO
Iyeee
Ni Lomodo tena
More beat once again
Baby kunipenda mimi
imekua unyama
Sio mbili therathini
Mi nawe mpaka kiama
Leo nakula yamini
We wakufa kuzikana
Najiuliza ni kwanini
Mimi nakupenda sana
Unaniamini nakuamini mimi nawe tumeshibana
Nakutii una nitii
Tunaheshimiana
Hata kama nikose nini
Unanisamehe saba mara sabini
Ah! I love you
Baby nikukunda nakupenda
Aaaaaaah nakupenda
Baby I love you too much, too much
(I love you baby nikukunda)
Aaaaaaah nakupenda ( penda)
Baby I love you too much, too much eeh eh
Ka baby kazuri
Ka baby karembo
Baby ringa we ni pisi kali ah
Oh baby mzuri
Huyu baby ni mrembo
Ah Baby ringa we ni pisi kali ah
Hata nikisema nitaje sifa za uzuri wako, siwezi maliza aah
Au nikisema nikupe mali
Kulipa penzi lako siwezi timiza aah
Unaniamini nakuamini
Mimi nawe tumeshibana
Nakutii una nitii
Tunaheshimiana
Hata kama nikose nini
Unanisamehe saba mara sabini
Ah I love you
Baby nikukunda nakupenda
Aaaaaaah nakupenda
Baby I love you too much, too much
(I love you baby nikukunda)
Aaaaaaah nakupenda ( penda)
Baby I love you too much, too much eeh eh
Watch Video
About Too Much
More LOMODO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl