Nawakera Lyrics by MABANTU


Nawakera, nawaudhi
Si wanapenda kubeng
(Gachi beats)

Mama mtu kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Tukivaa tshirt na jeans
Kwani inawakera?

Oyaa kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Nikimlipia kodi
Kwani inawakera?

Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Akikosea ninamsamehe
Kwani inawakera?

Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Basi mezeni vidonge

Oya simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)
Aii simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)

Ata nikimfumania (Simwachi)
Ata mseme anadanga (Simwachi)
Ata domo akinibenulia (Simwachi)
Oya hata mkimwita mwanga (Simwachi)

Mama mtu kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Tukivaa nguo sare sare
Kwani inawakera?

Oyaa kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Akinilipia ada
Kwani inawakera?

Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Tukienda baa analipa yeye
Kwani inawakera?

Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Basi mezeni moto

Simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)
Aii simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)

Ata asiponizalia (Simwachi)
Ata akilala kwako (Simwachi)
Ata akininunia (Simwachi)
Ata akitoka na babako (Simwachi)

Kwani inawakera?
Kwani inawakera?
Kwani inawakera?
Kwani inawakera?

Simwachi, mi simwachi ng'o
Simwachi, mi simwachi ng'o

[Young Lunya]
Majirani kwani inawakereketa
Kwani akiwa mfupi anawatesa
Ufundi kwani ni mwalimu wa fedha
Kulikoni kwani mmejawa na pressure

Kwani inauma eeh, kwani inawakera?
Nikimsifia sifia, kwani inawakera?
Nikimpikia pikia, kwani inawakera?
Nikimsaidia kufua, kwani inawakera?

Kwani inauma eeh, kwani inawakera?
Nguo zangu na ye anavaa, kwani inawakera?
Nishampeleka kitaa, kwani inawakera?
Kidoleni pete inang'aa

Wewewewee kwani inakuuma, mbona inakuchoma
Mimi kumtetea nishamwandikia hata ngoma
Pisi zenu zenyewe mitumba ya lala boma
Kwani mnapagawa sana sana mnapotuona

Mama mtu kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Tukivaa tshirt na jeans
Kwani inawakera?

Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Nikimlipia kodi
Kwani inawakera?

Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Akikosea ninamsamehe
Kwani inawakera?

Kwani inauma eeh
Kwani inawakera?
Basi mezeni vidonge

Oya simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)
Aii simwachi mi (Simwachi)
Mi simwachi ng'o (Mi simwachi ng'o)

Kwani inawakera?
Kwani inawakera?
Kwani inawakera?
Kwani inawakera?

Watch Video

About Nawakera

Album : Nawakera (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 20 , 2020

More MABANTU Lyrics

Leo
MABANTU
MABANTU
MABANTU

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl