Utamu (Remix) Lyrics
Utamu (Remix) Lyrics by MABANTU
Unapunguza utamu
Yao yao, unapunguza utamu
Si wanapenda kubeng
Unapunguza utamu
Kwa hiji boy ni mhubiri
Wengi tumeshakiri
Ila kamba umechanja siri siri
Unapunguza utamu
Bora ujiri, usinipe hata dili
Kama pigo zako za kamwili
Unapunguza utamu
Acheni machawa waongee
Sio wakiteleza mnawaita mafala
Unapunguza utamu
Na sio lazima uongee
Niko na Briana unaniuliza Kajala
Unapunguza utamu
Oya wanangu wa Dar es Salaam, eeh
Kama vipi ticha afikishe salaam, eeh
Hivi kuna watakaoniponda
Nikiongea na mama aturudishie makonda
Unapunguza utamu
Je mpaka kuche tomorrow
Mi nimependa shem, nikikuta kigodoro
Unapunguza utamu
Mpaka kuche tomorrow
Mi nimependa shem, nikikuta kigodoro
Unapunguza utamu
Waiter leta monde, unapunguza utamu
Usipoleta monde, unapunguza utamu
Wenye chuki acha wakonde, unapunguza utamu
Hili goma la Mabantu na ticha Konde
Unapunguza utamu
Usipunguze spidi, unapunguza utamu
Ukipunguza spidi, unapunguza utamu
Kanyaga weka spidi, unapunguza utamu
Mpaka mwisho spidi, unapunguza utamu
Dj ongeza sauti alafu punguza scratch
Hizo mbwembwe zako zinatukataa
Unapunguza utamu
Alafu bosi ka unaagiza agiza crate
Mambo ya kuagizaga moja moja
Unapunguza utamu
Niaje madam kama unanipa we nipe
Sijakataa ukimwi upo ila condom
Unapunguza utamu
Alafu dada kama unakatika kata
Mambo ya kusema nisikubambie
Unapunguza utamu
Utatuambia nini sisi mapopo, eeh
Kila siku tunalala kesho, eeh
Oya mahuni wote pepo, eeh
Na wadangaji wote pepo, eeh
Bi dada ukifika ghetto ni mizagamuano
Mambo ya kusema subiri baadae
Unapunguza utamu
Kama show piga show zile mambo
Baby unaenjoy au unajisikia aje
Unapunguza utamu
Waiter leta gambe, unapunguza utamu
Ongeza gambe, unapunguza utamu
Gambe, unapunguza utamu
Gambe, unapunguza utamu
Usipunguze spidi, unapunguza utamu
Ukipunguza spidi, unapunguza utamu
Kanyaga weka spidi, unapunguza utamu
Mpaka mwisho spidi, unapunguza utamu
Je mpaka kuche tomorrow
Mi nimependa shem, nikikuta kigodoro
Unapunguza utamu
Mpaka kuche tomorrow
Mi nimependa shem, nikikuta kigodoro
Unapunguza utamu
(Gachi B)
Watch Video
About Utamu (Remix)
More MABANTU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl