
Najuta Lyrics
Najuta Lyrics by LOMODO
Nilikupenda, nikakuamini
Utanipenda utakua na mimi
Kumbe unanilisha matango pori, matango pori
Nikakkujali nkakuthamini
Nikasamehe mara sabini
Ukikosea ukisema am sorry, ukisema am sorry
Kweli majuto ni mjukuu
Najuta kukuamini
Niliamini penzi utalitunza
Kumbe naubwaga moyo
Yangu macho umetia vitumguu
Kila siku nalia mimi
Nashukuru leo umenifunza
Nilikuaga poyoyo
Moyo wangu ushautia ganzi
Kupenda sitamani tena
Oho mapenzi maradhii aiyo
Moyo wangu ushautia ganzi
Kupenda sitamani tena
Mi umeniachia maradhii
Ooh ooh oooh
Mbona nilikupenda sanaa
Ooh ooh oooh
Sasa hivi ndo nini tena baby
Ooh ooh oooh
Ninapuyanga unapuyanga baby
Nakuona gaidi nakuona muuaji
Ulicheza na hisia zangu
Uliniomba kijiji nikakupa jiji
Leo umeniacha peke yangu
Ukweli siamini, siamini
Mapenzi ni ya wote lakini anayeteseka mimi
Ukweli siamini, siamini
Mapenzi ni ya wote ila mii
Moyo wangu ushautia ganzi
Kupenda sitamani tena
Oho mapenzi maradhii aiyo
Moyo wangu ushautia ganzi
Kupenda sitamani tena
Mi umeniachia maradhii
Ooh ooh oooh
Mbona nilikupenda sanaa
Ooh ooh oooh
Sasa hivi ndo nini tena baby
Ooh ooh oooh
Ninapuyanga unapuyanga baby
Watch Video
About Najuta
More LOMODO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl