Kifolongo Lyrics
Kifolongo Lyrics by RJ THE DJ
Rj The Dj all day baby
Kiraru raru usiwe na haya ukatulia
Una kiwaru waru kutanga tanga kiguu na njia
We jini kifaru, vya watu unavamia
Unacharuka charu, kiso chako huna nyaa pia
Huchagui mzima awe mdondo
Msikinde ama msondo
Kiguu ama kamongo
We twende
Ati kimechina kina shombo
Kwa Kinshasa Congo
Makabila manufongo
Kiwembe(Iyee)
Aaah
Kifolongo, kifolongo
Rudi kwenyu ni chamba wima
Kifolongo, kifolongo
Hili jiji lina zizima
Kifolongo, kifolongo
Rudi kwenyu ni chamba wima
Kifolongo, kifolongo
Hili jiji lina zizima
Oooh...
Aaah...
Kaa weka naki chini
Yaani ni uma kama lote
Yaani kama lote
Kaa abadilishwa jina
Aitwa sungura tope
Sungura tope
Nani hamjui kwa kuzoa zoa
Kipe nyembe
Yeye hachagui bomoa bomoa
Kibelenge
Kwa mabachela
Hupozwa kimoko(moko moko)
Tipa serera
Mchanga na kokoto(kokoto)
Goma la masela
Tepe boko boko(boko boko)
Ni kanga na dera
Mambo fogo fogo(fogo fogo)
Aaah
Kifolongo, kifolongo
Rudi kwenyu ni chamba wima
Kifolongo, kifolongo
Hili jiji lina zizima
Kifolongo, kifolongo
Rudi kwenyu ni chamba wima
Kifolongo, kifolongo
Hili jiji lina zizima
Hahaa...
Unapanda lifti ya gari
Ya pilipili babu eeh
Imemuwashaa...
[Lava Lava]
Siri imevuja
Kagonganisha mabwana huyu kimwenu
Anawavuruga
Wameandamana wanazembo
Kwa kubadili sample
Kafanya ushindani(kala fala)
Iwe dampo ama bababarani(kwa dala dala)
Akupa utakacho,
Hata kwenye majani(kwenye jalala)
Ulicho nacho yeye anakwara
Aaah
Kifolongo, kifolongo
Rudi kwenyu ni chamba wima
Kifolongo, kifolongo
Hili jiji lina zizima
Kifolongo, kifolongo
Rudi kwenyu ni chamba wima
Kifolongo, kifolongo
Hili jiji lina zizima
[Khadiha Kopa]
Hahaa...
Umeonapi
Kutwika pulika si mapapasha
Umeula huu...
Haya msogode, msogode mchomoe
Mwana nyungu kalilia mzinga si wake
Mkokote , mkokote mbomoe
Mwana nyungu kalilia mzinga eeeh..
Aah...
Pembe hilo pembe hilo
La ng'ombe hilo
Pembe hilo pembe hilo
La ng'ombe hilo
Lawamaliza waganga(pembe)
Mikuki kutwa kupunga(la ng'ombe)
Singeli mara jaranga(pembe)
Imemponza kiranga(la ng'ombe)
Anagombea mgomba(pembe)
Mandizi hajaipanda(la ng'ombe)
Mashua la haso kibanda(pembe)
La ng’ombe
Hahaha...Waso haya wanamjua
Namjua huko
Hata viwanja havijapimwa
Umekuja mjini na jembe
Na si utalima lami baba
Wenzio tuko tangu enzi za tobwa
Wewe umekuja umerogiwa na soda
Umeangukia pua babu wee
Hahaha...
Watch Video
About Kifolongo
More RJ THE DJ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl