Sitamani Lyrics by RJ THE DJ


Lody music on this one

She say she go love me wallah babe
Yani kakanimaliza akiongea
Kadata na cassava mchiomba kanifollow
Yani una adabu yo kind
Nahisi nikimchiti namuonea
She call me lover lover mchumba kanifollow
Na tabasamu lake linanimaliza
Moyo unaruka ruka motto ananikimbiza
Anani murder usiku kwenye giza
Style za kufa kufa zote tushaezimaliza
My girl short and hot than fire
Toto tamu kananipa ndo balaa
Yo my girl short and hot than fire

Yale mambo ya kuchepuka
Sitamani tena, sitamani tena
Kutoka na mashoga zako
Sitamani tena, sitamani tena
Unanipandisha mizuka mama
Sitamani tena, sitamani tena
Sasa nipe penzi lako
Sitamani tena, sitamani tena
Sitamani mwengine yee , yeyee

Pretty face, brow skin rolling dice baby kila round spin
Kwa vile vicheche ntafatanga nini
I’m all yours baby tamba na tena jiamini
Utanipaa presha wewe ndo engine
Moyo wangu unavyouweendesha
Penzi kutwa linanoga unavyoninogesha
Treatment za kitoto mpaka kuogeshwa
In fact mahaba kama haya mimi sijawahi kupata
Ndomana I’m crazy in love nakaribia kudata
Offline umenieima data
Mradi najilia nnavyotaka bila shaaka, swadakta
Maumivu ya moto stamanii tena
Nyuma nilipopapita spaangalii tena
Matapishi siyarudii tena
Mimi na wewe mademu mwengie wote siaminii tena

Yale mambo ya kuchepuka
Sitamani tena, sitamani tena
Kutoka na mashoga zako
Sitamani tena, sitamani tena
Unanipandisha mizuka mama
Sitamani tena, sitamani tena
Sasa nipe penzi lako
Sitamani tena, sitamani tena
Sitamani mwengine yee , yeyee

Watch Video

About Sitamani

Album : Sitamani (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Feb 08 , 2022

More RJ THE DJ Lyrics

RJ THE DJ
RJ THE DJ
RJ THE DJ
RJ THE DJ

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl