Karibuni Kibaha Lyrics
Karibuni Kibaha Lyrics by MAARIFA
Touch touch touch
Nasaka hela sio kukaa (bora eeh)
Karibuni huku kibaha
It’s been a long time
Nje mnione superstar
Talalili la lila
I can freestyle
Sio kila muda ntatafuta bic
Natafuta hela tangu ray anatafuta kick
Mnatafuta kipi, hata mola shahidi
Japo kisasi ni haki ila msamaha (bora zaidi)
Dini ni kitu bora ila imani (bora zaidi)
Uzuei wa nje ni bora ila wa ndani (bora zaidi)
Moshi wa shiii ila ubani (bora zaidi)
Kati ya mamba na kiboko kiboko mamba usikaidi
Sijui kobe, sijui digi digi, Donkey sijui fisi
Mbugani mkubwa ni tembo ila samba (bora zaidi)
Sijui shishi sijui poshi queen
Gigi sijui chuga queen
Aa sio wabaya ila bebe yangu (bora zaidi)
Hata diamond kiba jux na benpol
Wote wanaimba sana, mnamuonaje marioo
Chidi benz rapper mkali ney rapper mkali
Hata roma rapper mkali ila made (bora zaidi)
Bora eeh
Bora eeh
Bora eeh, zaidi
Nasaka hela sio kukaa (bora eeh)
Karibuni huku kibaha
Nje mnione superstar (bora eeh)
Talalili la lila (zaidi)
Kwa timu za ndani, halafu
Nyumbani hapa yaani halafu
Wote tunajua kuwa eenhe (bora zaidi)
Kwa timu za nje sio kinyonge halafu
Hodari wa vikombe halafu
Man u timu kongwe ilaa hii (bora zaidi)
Fai toto anaupiga mwingi hata mkude anaupiga mwingi
Pia chilunga na yahya zayd (bora zaidi)
Majani we nimnoma master jay ni mnoma
Ila isaam na Mr tee (bora zaidi)
Vitabu vingu umesoma yaani hata misijagoma
Ila quraan na biblia ndio vitabu (bora zaidi)
Somo limefika kabisa mwanga hata giza naficha
Na nyie msiojua kusoma round hii mtaelewa picha
Upendo ni (bora zaidi)
Matendo ni (bora zaidi)
Juhudi ni (bora zaidi)
Msirudi muwe (bora zaidi)
Dhamira kubwa ni kuwapa funzo na kama dawa wakiugua
Alafu sio kesi wakipagawa napanunua, ha ha ha
Bora eeh
Bora eeh
Bora eeh, zaidi
Nasaka hela sio kukaa (bora eeh)
Karibuni huku kibaha
Nje mnione superstar (bora eeh)
Talalili la lila (zaidi)
Natiwa maarifa
Kibaha finest
Mtoto wa baba
Wameinama wameinuka wataka shuka kumeshakucha
Wameinama wameinuka wataka shuka kumeshakucha
Wameinama wameinuka wataka shuka kumeshakucha
Wameinama wameinuka wataka shuka kumeshakucha
Watch Video
About Karibuni Kibaha
More MAARIFA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl