MAARIFA Sishirikishi Mtu cover image

Sishirikishi Mtu Lyrics

Sishirikishi Mtu Lyrics by MAARIFA


It’s time for manzese music baby
Kibaha finest
Naitwa maarifa

Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Nyimbo zangu kwa sasa sishirikisi mtu
Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Namaliza mwenyewe sishirikisi mtu

Nipo na rash don studio kinondoni
Kusikiza beat naona kabisa anakaa moni
Alichojibu sijui ni malengo hayaoni
Eti kurekodi mpaka twende majengo sokoni
Dodoma, noma chonde ooi pisha
Nikaona chap nimchek konde boy teacher
Hakunificha yaani pale pale akanambia
Madee nisawa na tale tale
Vitaa, hapo ndipo nukaona nafasi
Nikifanya na nandy views ntaongeza kwa kasi
Sa sijui ni wasiwasi
Akasema mpaka akamuulize bilnass
Zuchu akasema safi ataimba
Na wimbo ameupenda atatimba
Siku ya kurecord, ikatokea shida
Napiga simu mara  eeh
Kapokea simba aah

Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Nyimbo zangu kwa sasa sishirikisi mtu
Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Namaliza mwenyewe sishirikisi mtu

Collabo kubwa kama tetema au mang’dakiwe
Nkamchek janja tupige kama acha iwe nipo batani
Mambo ya miziki nisiambiwe
(Mwaka huu sit oi ngoma liw alo na liwe)
Au nimchek ben
Hatuikosi trend tutaenda hata top ten
Maana kuhusu msechu  Msikilzeni
Wimbo wa mapenzi ila mistari yakam peni
Nikaiwazia singeli nikamcheck makabila
Ndo nikaamini Yule mwanangu ni bia bila
Kwanza ana hila pil ana hasira
Mziki haumlipi kageuza mapenzi kuwa ajira
Nikaona roma eeh, mmh tutaua yaani
Sa’kutoroka marekani ananijua nani
Zamani, ningemuweka marijani
Ila uhai kama moshi ukiende haurudi yaani

Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Nyimbo zangu kwa sasa sishirikisi mtu
Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Simshirikishi mtu
Namaliza mwenyewe sishirikisi mtu

Watch Video

About Sishirikishi Mtu

Album : Sishirikishi Mtu (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Dec 23 , 2022

More MAARIFA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl