Madee Kafa (Maarifa Ya Maarifa Part 1) Lyrics
Madee Kafa (Maarifa Ya Maarifa Part 1) Lyrics by MAARIFA
Naitwa Maarifa
Okey now we breeze up
A moment of silence
Now its like, that's nice
Yeah it's nice,
Bas nice, bak Nike
Ama ngoja skiza
Kifo ndio ndoto ambayo
Kila mmoja ataitimiza
Yaani haswa, sikia yaani sasa
Niwajibu wanauliza nani kafa
Maana kuskia umeanga, Wega kagenda vidonge
Na bado hatujajua hivi Nani alipita na pombe
Asije akapita na tonge tutakuwa hatuongei
Na wanapita na donge kwa haya wanapitwa na chonde
Njanja bado analia akiwaona Saida na Chonge
Kwa kuwa ni noma ka ulivyosema nitapewa verse fresh
Baada ya verse napewa geshi bar
Wanawaza kama wangepewa verse
Simba yupo ila Konde Boy kapewa jeshi
MMB kazi kazi, wazi wazi hivyo
Kila mahali ipo, kwa kuwa hodari nipo
Huko kwa hodari ndo sikosi
Inafika habari mwisho
Yaani mwisho wa reli Kigoma
Mwisho wa mneli kuchoma
Mwisho wa sheli ni noma
Mwisho kafeli
Ona walosema kuwa na kitu ni shida
Wema wako wanauona siku ya msiba
Walisema ulikuwa in-charge wa faida
Wanapambana wakuvike taji la mimba
Ah sishangai shangai, hata sikatai katai
Hasa kwa gongwa chupa mafuta sipakai pakai
Hapa, Kwa mengine najifunza yaani
Mkiimara guza maandiko
Kwa mengi mi nakumbuka na sitachekwa
Bahati inalovuja sasa wana nyumba isiyoezekwa
Sasa nimeelewa kipi ulimaanisha
Hata hiki nikipewa wanataka kunitapisha
Wanataka kunikalisha ila kiti hakifai
Sasa sifunikiki hata wakija na mtungubari
Sikia kaka sikia, wapo walioipata habari
Wapo walioipata hatari, wapo walopara mwari
Wapo waliopata Zari, wapo waliopata hapa
Wapo waliopata mbali, Ila mpaka leo
OMG hawajapata gari
Waliokaza nawakazia, waliotamba nawatambia
Waliobamba nawabambia, walio chapa nawachapia
Waliodanda nawadandia, walio niita kifaa
Napitia kwa mama nikiendaga kwa baba kibaa
Wanaona sasa, wanaona kweli
Ooh wapo jagwani wanaona meli
No, ni ka wanaota alafu kweli
Ka wanamoka alafu sheli
Ulinambia, ulina, ulinambia sasa naaminia
Waache waongee let them talk
Waache wadondoke let them drop
Si unataka ufike uskike kimbia
Waache watembee let them walk
Sasa sikai ghetto Kibaa hana nyumba
Sipigi nyeto nakaa hawa wachumba
Bila mchecheto nadaka mavumba
Msalimie Bonge, Pendo, Kanumba
Naitwa Maarifa, Kibaa finest
Mtoto wa Baba, toka MMB haha
Watch Video
About Madee Kafa (Maarifa Ya Maarifa Part 1)
More MAARIFA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl