Siri Lyrics by RAYVANNY


Hhhmm
Nimeanza safari ya penzi na wewe usiikatishe eeh
Mungu mwema baba Mbali atufikishe eeh
Mi binadamu nakosea nikiteleza usiuzunike eeeh
Milele Mwanadada Nikifa Unizike
Kutoka kwenye Uvungu Wa Moyo Wangu
Natamka niwewee
Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama
Mfariji pekee nikimwaga chozi langu mama Niweweee
Imenishinda siri Kifuani Mwangu aaah aaah
Nikupeleke Nyumbani kwetu Sheri eeeh
Ukawajue Na Ndugu zangu mama aaah
Unipeleke Nyumbani kwenu Bibi weweee
Nikawaone shemeji zangu mamaaa aaah
Siri Yanini 
Nini Maaana Yake oooh Siri
Siri ya niiini Siri
Nini hasara zake Siri
Siri oooh siri Mapenzi ya siri iiiiiiih

Pre Chorus
Ooooh Mama lolooo
Ooooh Mama lolooo
Ooooh Mama lolooo

Verse 2 
Eeh Mama
Nipe Utamu kabla Ujatamka Usingizi
Si come Mpaka tukiamka Ni series
Kakonko twende kamara kibirizi
Mapaja Yake utamu Michirizi
Michepuko imenuna Imezila siri siri
Na wee ni kachumbali Mayonnaise Pili pili
Pili pili Manga Tunakilikili wanga
Kilimanjaro Nyumbani kwetu kisimili mwanga
Si mama Nikk Simama Wima
Siri Ya Mapenzi Nikufikishe kwa Kina
Umebeba beba
Mkungu Wa Muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue leba
Umebeba beba
Mkungu Wa Muleba
Uchungu kama kwao wakajifungue leba

Chorus
Ooooh Mama lolooooh
Mama lolo kwako sijiwezi
Ooooh Mama lolooooh
Sitoficha Mdudu Mapenzi
Ooooh Mama lolooooh
Mama lolooooh
Kwako sijiwezi
Ooooh Mama lolooooh.
Mama loloooooo oooooh ooh

Hook 
Kwenye kamoyo mi sina Siri
Je nikutaje ka jina Siri
Wajue wenye fitina Siri
Jembe Nipo Nalima Siri
Basi Nawe Usifiche maa Siri
Sema Watupishe naa Siri
Vichefuchefu Watapishe Naaa.
Penzi letu lisiishe m mi Na wewee

Outro 
Owe owe oweoooo owe owe owaa
Owe owe oweoooo owe owe owaa
Siri Yanini owe owe oweoooo owe owe owaa
Nini Maaana Yake Owe owe oweoooo owe owe owaa
Siri ya niiini owe owe oweoooo owe owe owaa
Nini hasara zake Owe owe oweoooo owe o

Watch Video

About Siri

Album : Siri
Release Year : 2017
Copyright : ©2017
Added By : Trendy Sushi
Published : Feb 28 , 2020

More RAYVANNY Lyrics

RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl