Mama Kiroba Lyrics
Mama Kiroba Lyrics by MADEE
Woyoyo, woyoyo yoyo (Shmida)
Woyoyo, woyoyo yoyo (Leta tutere)
Woyoyo, woyoyo yoyo (Shmida)
Woyoyo, woyoyo yoyo
Vile unavyopendeza mama kiroba eh
Napenda nikubebe kama kiroba eh
Kwako sober, nimevaa viroba
Umeniroga mama kiroba
Salamu zenu mabibi na mabwana
Kusema kweli huyu mama ananichanganya sana
Kila mara unapopita (Pita)
Moyo unanipwita pwita (Pwita)
Nimbebe kama kita nikamlaze
Sita kwa sita
Nipige show (Show)
Kukuche majogoo (Goo)
Mpaka liseme po (Po)
Hey darling you never know (Know)
Sai go, kukill show
Japo kukupita kwenye koo
Kuikosa kwangu soo
Nitalisaka hata Kariakor (Kosa)
Vile unavyopendeza mama kiroba eh
Napenda nikubebe kama kiroba eh
Kwako sober, nimevaa viroba
Umeniroga mama kiroba
Checheme, checheme (Kosa)
Checheme oyaah eh
Niseme nisiseme (Kosa)
Utazima boya we
Nisimkumbate (Leteni)
Nilipe mate (Lingeni)
Nilipakate (Sebuleni)
Mama kiroba (Miuno feni)
Hapa mwepesi
Kumbe ameficha shanga
Moto wa gesi
Yes Simba mimi Yanga
Mna tetesi
Lijimama la kitaNga
Mtanipa kesi
Mumewe anipige mapaNga
Vile unavyopendeza mama kiroba eh
Napenda nikubebe kama kiroba eh
Kwako sober, nimevaa viroba
Umeniroga mama kiroba
Hayawi hayawi
Na sasa amekuwa
Wamekosa mbivu kwa uvumilivu
Kwa uvivu wa kuchagua
Lishinde tawi, hili tunachanua
Usiulize vipi kwani kipi kipi
Mpaka Zeso anamjua
Nachapa tu fimbo
Mikogo mixer maringo
Siko swagger za Congo
Zungusha kibindo aah
Wapeana habari
Hili mama limenitoa mbali
Round hii sitaki shari
Zile pah pah mashari chali
Vile unavyopendeza mama kiroba eh
Napenda nikubebe kama kiroba eh
Kwako sober, nimevaa viroba
Umeniroga mama kiroba
Woyoyo, woyoyo yoyo
Woyoyo, woyoyo yoyo
Woyoyo, woyoyo yoyo
Woyoyo, woyoyo yoyo
Kosa!
Watch Video
About Mama Kiroba
More MADEE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl