Kizunguzungu (Diu Diu) Lyrics by VDJ JONES


Na rapper anataka hapa ngale washa ingine
Mbili mbili na ako na tu madiudiu
Na rapper anataka hapa ngale washa ingine
Mbili mbili na ako na tu madiudiu

(Mavo on the Beat)

Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu naskia tu kizunguzungu
Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu

The dipper I go (Dip dip dip)
The louder man nduru kuskika (Uwii uwiii)
Ring'ang'ore ivocheti (Ring'ang'ore, Ring'ang'ore)
Nazamisha bojong'o upesi upesi
Na bado ukininyima itakuwa kesi
Na aki diudiu nakapiga machobo kama Messi
Na atajua ni genje ni mbwaya

Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu naskia tu kizunguzungu
Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu

Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu naskia tu kizunguzungu
Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu

Huskii nafeel ni kama unaniingiza
Najua unataka vako za ki-diva
I'm so local sina hata visa
Niko so formal naona tu giza

Acha tuthie tu poa bila drama
Hizo maneno bana unajifanya
Hata vile unakohoa unanichanganya
Ama ni madoh doh ndo sijamwaga

Acha Kiki kizunu mingi mum
Kam ukuwe bibi nkikuwe your only man
Heshima nimetembeza saizi nimechoka man
Naeza kuweka main bana uwache kuwa fan

Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu naskia tu kizunguzungu
Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu

Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu naskia tu kizunguzungu
Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu

Ni bidii mtu yangu sikuhit ki mungumungu
Shoutout to my haters bado wana machungu chungu
Nina mpango wa kando ye hupendaga manginyo
Mi hugonga na finyo anaskia kwa tumbo kama minyoo

Namthigitha hadi nyau inasikia thithi
Alafu anafurahi kama Kimbo
Mutaratara alafu tunabanju to the limbo
Cheki mali kwa shingo goro zangu si imbo

Si Gengetone ni kigoco alafu nakunyuria kithotono
Nakujenga na sikufiki bana mi nakupeel
Naskia tu kizungu zungu
Mama wa kwangu hupenda ndizi mi humuitanga nugu nugu

Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu naskia tu kizunguzungu
Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu

Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu naskia tu kizunguzungu
Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu

Ukipatana na mi ndugu usijishuku
Kizungu nyingi ya mbulu nabonganga tu kizungu
Alijifanya mtamu nikakuja na mapuru, mabuyu
Njugu plus rungu sai anapiga nduru, ulizia nani guru 

Doni, Buruburu wananibebanga juu juu
Kizungu zungu ndo naskia juu ya hizo nusu nusu
Kichwa merry go round kama gurudumu
Joto ndo nafeel kama basi ya Kisumu
Toa njumu wakikuta unawapasha kama wajukuu
Nikishika mic ni tight kama nugu na miti
Nilitoa nyoka pangoni nikaipea sumu

Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu naskia tu kizunguzungu
Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu

Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu naskia tu kizunguzungu
Diudiu ah kizunguzungu
Madiudiu bonga sheng sijui kizunguzungu

Now you know 
Wameshikwa na kizungu zungu men
Wanatufuata ila hawatuoni
Mavo on the beat nice meeting you homie
Si unajua genje ni mbwaya

Watch Video

About Kizunguzungu (Diu Diu)

Album : Kizunguzungu (Diu Diu)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Black Market Records.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 27 , 2020

More VDJ JONES Lyrics

VDJ JONES
VDJ JONES
VDJ JONES
VDJ JONES

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl