Sina Lyrics
...
Sina Lyrics by Pole Classic
Sina It is Flames Records
Uyeeh Uyeeh Uyeeh Mmh Mmh Mmh
Akili umekoroga mwenzakoo Uyeeh Eeeh Eeeh
Mapenzi yamezama kizani Kizanii Kizanii
Sina pa kuhema mwenzakoo Uyeeh Eeeh Eeeh
Nimelemewa fikra na si utani Utanii Utanii
Nakesha mchana mzimaa
Bado sina uzimaaa
Kwangu penzi limesinyaa
Mfuko umechinaa
Mchana mzimaa
Sina uzimaaa
Penzi limesinyaa
Mfuko umechinaa
Nilimuweka kwenye akilii
Kifaranga najikosesha mwilii
Ningemuoa kama ingebidii
Lakini naye alinifeli (Emphasizing)
Nilimuweka kwenye akilii
Kifaranga najikosesha mwilii
Ningemuoa kama ingebidii
Lakini naye alinifeli
Pa kuhemea sinaa "Sina"
Pa kukemea sinaa "Sina"
Pa kwegemea sinaa "Sina"
Oooh ooh Sina "Sina"
Pa kuhemea sinaa "Sina"
Pa kukemea sinaa "Sina"
Pa kwegemea sinaa "Sina"
Oooh ooh Sina
Kipendacho roho hula nyama mbichii
Mmmh Nimeshadanganywa tena siwafichii Eeeh
The eight figure natural
You can call her mi Amor
Akipiga picha uko hoi taabani
Mapenzi yana mwenyewee eeh Uyeeh Aaah
Nilimuweka kwenye akilii
Kifaranga najikosesha mwilii
Ningemuoa kama ingebidii
Lakini naye alinifeli (Emphasizing)
Nilimuweka kwenye akilii
Kifaranga najikosesha mwilii
Ningemuoa kama ingebidii
Lakini naye alinifeli
Pa kuhemea sinaa "Sina"
Pa kukemea sinaa "Sina"
Pa kwegemea sinaa "Sina"
Oooh ooh Sina "Sina"
Pa kuhemea sinaa "Sina"
Pa kukemea sinaa "Sina"
Pa kwegemea sinaa "Sina"
Oooh ooh Sina Ooh sina
Ooh sina,Ooh sinaa S
inaa,pa kwegemea sinaa
Ooh sina,Ooh sina
Ooh sinaa Sinaa,pa kwegemea sinaa
Watch Video
About Sina
More Pole Classic Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl