MCHINA Alaas cover image

Alaas Lyrics

Alaas Lyrics by MCHINA


Noma ni paka leo kageuka simba
Nimetoka Kenya joh na sio China 
Cheki, nilichapa kajikuna ka ana jiggers 
Na magethaa ya party tupatane ikifika 

So Ka ni kali Makali tunaitisha(Eeh) 
Na Ka ni mbali ita uber nitalipa (Alaas)
Si ni ni Kuparty kujikill lenga shida 
Na tukiparty sana bado si uletanga shida (Alaas)

So leta shada Mali safiii nawakisha
Na pia mangoko wakam sare madiva 
Si ni kuparty kujikill lenga shida 
Na tukiparty sana bado si uletanga shida (Alaas)

Dj eka doba tunyambishe speaker 
Juu ile masaa ya kuzisetoka imefika 
Buda leta izo whiskey na maliquor 
Na ukitapika joh kwa scene buda safisha 

Mami kwangu mi naona umejipa 
But nikicheki fity kuna design unaringa
So Ka ni haga unaweza niguzisha 
Lakini Ka ni ngumu ninyime aina shida 

Saa juu ya reason kanaweza kutetema 
Kamenipea orders ndio nisimwage mapema
Lakini njoti zangu joh ni Mara kenda 
Ye ustuka vile nazamanga joh tena na tena

So Ka ni kali Makali tunaitisha(Eeh) 
Na Ka ni mbali ita uber nitalipa (Alaas)
Si ni ni Kuparty kujikill lenga shida 
Na tukiparty sana bado si uletanga shida (Alaas)

So leta shada Mali safiii nawakisha
Na pia mangoko wakam sare madiva 
Si ni kuparty kujikill lenga shida 
Na tukiparty sana bado si uletanga shida (Alaas)

Mami basi na uwache tu maringo
Ju kama ni kusukwa unaweza baki single
Nadai thutha nikicharge hizo bengo
Leta magizani nikupatie mafimbo

Ka ni kanyumba tutajenga Mlolongo
Ama tujibambe na kabedsitter pale Ngong Road
Na area ni mingi pia huko Thogoto
Ni poa pia bado kukaribia soko

Huskii mapenzi imenishika kama mbichwa
Ju kila nikikuona naskia tu kuzamisha
Usikuje ukafogothwa na hao manigga
Ukanitoka ati nimekosa za kapizza

Si unajua nakupenda jo Maria
Ju kila mtoto ananiacha na feelings za kulia
Ka ni mahari nitasaka we tulia
Usidanganywe na mali sana ju ni ya dunia

So Ka ni kali Makali tunaitisha(Eeh) 
Na Ka ni mbali ita uber nitalipa (Alaas)
Si ni ni Kuparty kujikill lenga shida 
Na tukiparty sana bado si uletanga shida (Alaas)

So leta shada Mali safiii nawakisha
Na pia mangoko wakam sare madiva 
Si ni kuparty kujikill lenga shida 
Na tukiparty sana bado si uletanga shida (Alaas)

Ati ni ule boy wa mambo tushooti
Huskii nilijam nikabuy looku ya kisuti
Mi hung'ara ile siku nimenyoa fudhi
Ndo nikitaka easy nakapeanga makuni

Cheki napenda rangi thao ama ya turungi
Kadem mali safi kametumia sabuni
Kanapenda shada sana na kamenyoa fudhi
Kakipanua si lazima mimi niwashe udi

Nimekuwa na wasita toka juzi
Tukivuta shada ndani ya kijacuzzi
Unadai kuwa GOAT na tabia za mambuzi
Sijakuja kukutusi lakini achanga upuzi

So Ka ni kali Makali tunaitisha(Eeh) 
Na Ka ni mbali ita uber nitalipa (Alaas)
Si ni ni Kuparty kujikill lenga shida 
Na tukiparty sana bado si uletanga shida (Alaas)

So leta shada Mali safiii nawakisha
Na pia mangoko wakam sare madiva 
Si ni kuparty kujikill lenga shida 
Na tukiparty sana bado si uletanga shida (Alaas)

Makali tuliitisha zimekam, ALAAS
Na bei ya Uber tulifika ukakam, ALAAS
Mashada tuliitisha zimekam,  ALAAS
Na mangoko tulingoja wamekam,  ALAAS

Makali tuliitisha zimekam, ALAAS
Na bei ya Uber tulifika ukakam, ALAAS
Mashada tuliitisha zimekam,  ALAAS
Na mangoko tulingoja wamekam,  ALAAS

(Yoyoh ni Mchina China man)

Watch Video

About Alaas

Album : Alaas
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 29 , 2020

More MCHINA Lyrics

MCHINA
MCHINA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl