Tesa Tesa Lyrics by MCHINA

Ka hujajua jina bado ni Mchina
Hii ndo mwaka naeza kubuyia kadinga
Wakibonga wakujua nitashinda..
(Magix Enga on the Beat)
Tumekuja kuwatesa, na kwani?

Hii ni PG usijaribu ku sensor (Hatari)
Leta mambo ka uko na ajenda
Na biz jo hatubongi ka haileti jo kapesa

Tukiburn, tunatesa
Na me gang Tesa Tesa
Kwenye club, tunatesa
Hadi mtaa, Tesa Tesa

Tukiburn, tunatesa
Na me gang Tesa Tesa
Kwenye club, tunatesa
Hadi mtaa, Tesa Tesa

Ah pita kando usikaribie jo sisi
Washa candle heshimu jo kasisi
That's a ho- bra ananionyesha mati-
Na magethaa za home  atadai zanfu tasties

Usikuje ukaona utaleta rangle
Ju kesi jo na sisi apa buda si ni trouble
Leta ngori hapa mi nitakuhandle
Utoke teke ka umetolewa mbio na kanjo

Kikulacho kitashiba ni kimbao naingia
Keep it loud kwenye speaker 
Na ka si thao siwezi shika
Siku moja itajipa niwai hizo maganji

Nikule mi nishibe nipate hadi kitambi
Magoro na masilver nizijaze kifuani
Na daily toka dust nikifuatwa na mamanzi
Kujichocha vile unawadara
Na cheki vile jo miguu zako zimeparara

Tukiburn, tunatesa
Na me gang Tesa Tesa
Kwenye club, tunatesa
Hadi mtaa, Tesa Tesa

Tukiburn, tunatesa
Na me gang Tesa Tesa
Kwenye club, tunatesa
Hadi mtaa, Tesa Tesa....

Watch Video

About Tesa Tesa

Album : Tesa Tesa (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 04 , 2020

More MCHINA Lyrics

MCHINA
MCHINA

Comments ( 0 )

No Comment yet

See alsoYou May also LikeGet Afrika Lyrics Mobile App

About AfrikaLyrics 

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl