Niko High Lyrics
Niko High Lyrics by MCHINA
Niko high walai
Niko high ju ya mangwai
Niko high mi nadai
Kuburn shash nikiride tu na ndae
Niko high walai
Niko high ju ya mangwai
Niko high mi nadai
Kuburn shash nikiride tu na ndae
Niliwasha hii kishash na masai
Akadai hii ni trash enda Ruai
Kuna mali gwan side ya Mathai
Sikusleki ju nilitaka kupiga sai
Manzi fine si unajua we ni mine
Nikikudara sijui kama utamind
Nikilap hiyo haga na ma thighs
Wewe ni lele lakini tukikupiga line
Niko high walai
Niko high ju ya mangwai
Niko high mi nadai
Kuburn shash nikiride tu na ndae
Niko high walai
Niko high ju ya mangwai
Niko high mi nadai
Kuburn shash nikiride tu na ndae
Niko high mi nafly
Rungu fika bei ju ya leo ni masai aii
Nina ndae nilibuy
Fudhi zina rangi nilishazipaka dye
Ati niko rieng inama nikubend
Panda ju ya bed ju ya leo utasweat
Ati niko rieng simama nikubend
Kuni iko set utawika nina bell
Niko high walai
Niko high ju ya mangwai
Niko high mi nadai
Kuburn shash nikiride tu na ndae
Niko high walai
Niko high ju ya mangwai
Niko high mi nadai
Kuburn shash nikiride tu na ndae
Zimesink hadi nyaru siseti
Zimenyc hadi valon siwezi
Zimecatch hadi Sharon sichapi
Zimeweza hadi maji sikati
Eti manzi mi nataka kucheki
Hiyo jegi ikibaki kusteady
Piga shash ili niweze kumedi
Chora saba mi sitaki ukreaky
Zikiland mi sitaki ushenzi
Eti Roba alikula kabinti
Manzi fine ako wera Imenti
Manzi fine ako wera Imenti
Niko high walai
Niko high ju ya mangwai
Niko high mi nadai
Kuburn shash nikiride tu na ndae
Niko high walai
Niko high ju ya mangwai
Niko high mi nadai
Kuburn shash nikiride tu na ndae
Odi wa Mombasa, Mchina
Tuko high, tuko high
Watch Video
About Niko High
More MCHINA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl