Zimepanda Lyrics
Zimepanda Lyrics by VDJ JONES
Wakali wao yaoyao, ey ey ey ey
C unajua ni genje ni bwaya, ahaha ah wah do dem
Mavo on the beat and it's bad to be badder
Psycho, Mbogi Genje, Iano Ranking under Mickey
Na Calif (Mavo on the Beat)
Zimepanda zimeripoti
Niko jaba rira na njoti
Kando kishada na ng'ang'o ya fourty
Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti
Zimepanda zimeripoti
Niko jaba rira na njoti
Kando kishada na ng'ang'o ya fourty
Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti aah
Guzling tispo ni ya kibla
Ditni dibla ile genje
Inigri mi hurieng ka dishokdem
Mambeko zinamuok ni mogatha
Kanairo govana ni mjamo
Lagunya skomo ni makibre
Inademia nimemuok ka Palmer
Nikipaa kila yout ni dangulo
Kwa ngife baroda imemuokre
Ma TBN kuwabambua mashashken
Kamili akimsnadi poacher nyagu
Militan huwa riau tu frontline
Zimepanda zimeripoti
Niko jaba rira na njoti
Kando kishada na ng'ang'o ya fourty
Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti
Zimepanda zimeripoti
Niko jaba rira na njoti
Kando kishada na ng'ang'o ya fourty
Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti aah
After umenimochoa itabaki nimezitoka
Kileo ujikojolee si nitakuokota
Napata msupa kwa counter tu Ma-quarter
Ako na jegi 20 litres si ni kama naota
Kumsuka si ni kama na-order
Kuniagizia nikajipata tu matora
Mbulu biggy ameseti movie ya horror
Ameseti mkono kwenye bakora
Utadhani anadrive mkono ya left kwa gear
Ashaniita dear amenitolea G Bag
Fine figure ananivutia
Mtoto akililia wembe unampatia
Zimepanda zimeripoti
Niko jaba rira na njoti
Kando kishada na ng'ang'o ya fourty
Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti
Zimepanda zimeripoti
Niko jaba rira na njoti
Kando kishada na ng'ang'o ya fourty
Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti aah
Na kwa kichwa ninaburn mambichwa
Nasunda kwa kichwa nadara nashika aah
Nawacheza kama bano bano
Niko tu za lando lando
Anameza kama tembe, kama tembe
Ameiva na - jishikia sembe
Niko rada uko manyu niko lembe
Ni Konyagi aah acha nikembe
Ninyonye ka maembe
Ng'ang'o ng'ang'o
Na kangwai ngwai ng'ang'o
Ng'ang'o ng'ang'o
Na kangwai ngwai ng'ang'o
Zimepanda zimeripoti
Niko jaba rira na njoti
Kando kishada na ng'ang'o ya fourty
Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti
Zimepanda zimeripoti
Niko jaba rira na njoti
Kando kishada na ng'ang'o ya fourty
Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti aah
Piga taxibla lakini daily namochoka
Calif vile nadrip kama pipe imetoboka
Mistari iko kwa lips utadhani mogoka
Na huwezi nipata trip Sunday Monday niko mboka
Ka daily niko hustle najaribu kuomoka
Ndio doba yangu ichune shinda sound ya itoka
Mistari kama rive shortgun mi bazuka
Ni mbali mi naenda oh it's time nimetoka
Ju nimechoka toka mboka
Niko handas ju ya mogoka
Walidhani hatutaomoka
Luku safi kata shoka
Pesa ziko kwa kibenje
Lugha safi cheki senje
Ka si ganji kata tenje
Goodbye huwezi nipata
Zimepanda zimeripoti
Niko jaba rira na njoti
Kando kishada na ng'ang'o ya fourty
Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti
Zimepanda zimeripoti
Niko jaba rira na njoti
Kando kishada na ng'ang'o ya fourty
Kwa kichwa medulla hadi kwa magoti aah
Watch Video
About Zimepanda
More VDJ JONES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl