Selekta Lyrics by VDJ JONES


Shukisha bana nayo nayo bana selekta
Chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
Cheza na rada cheza na rada ya warembo
Selekta selekta cheza na hio tempo

Shukisha bana nayo nayo bana selekta
Chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
Cheza na rada cheza na rada ya warembo
Selekta selekta cheza na hio tempo

[Scar Mkadinali]
Oya selekta pandisha hio debe 
Alafu upewe senetor
Msupa nilimpoteza akahata hio Semester
Na sina pesa ama ni vile mi nahemesha
Napiganisha kwa mrenga mi nikikereka
Uliza ni nani mi si ovyo ovyo
Kamkadi bangi nipate madogogio
Ikibidi mi naendea mkopo
Chunga bibi usije ukanilelea mtoto
Nairobi walinikanya niwache kutumia
Wasupa wa watu ma emoji za biringanya
Na pori imejaa wanyama hio ndo reason
Utapata kwa ngozi nimejaa ma alama

Weka irori bro ka unadai kuroria
Nina mamorio na mangwai kwa gunia
Yako ni maoni jo I'm sorry siwezi umia
Huvaangi kondiko kwani huogopi Gonorrhea

Shukisha bana nayo nayo bana selekta
Chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
Cheza na rada cheza na rada ya warembo
Selekta selekta cheza na hio tempo

Shukisha bana nayo nayo bana selekta
Chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
Cheza na rada cheza na rada ya warembo
Selekta selekta cheza na hio tempo

[Angry Panda]
Usingizi ni mingi nitalala nikiomoka
Mistari na waroro kuwaroga nikisonga
Nimeshika mic simama anza kuzitoka
Na selekta apatiwe chupa kwa bill yangu

Angusha tingisha baby napenda ukiwhine
Miracle nimefanya ni kufanya ukuwe mine
Kwa makali kidogo sikuwagi nimerely
Nani alikuzama ma ma oh my

Wamelipia hawafai bana kuteta
Kwenye maumbo wako sawa na hio tempo
Usiguze waya utaharibu mambo, chuu
Back on top tunawakanyagia siku hizi tuko on top
Chukua ni kama umeserve-iwa kwa table on top
Me love it when you whine whine, you don't stop

Shukisha bana nayo nayo bana selekta
Chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
Cheza na rada cheza na rada ya warembo
Selekta selekta cheza na hio tempo

Shukisha bana nayo nayo bana selekta
Chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
Cheza na rada cheza na rada ya warembo
Selekta selekta cheza na hio tempo

--------
Jeshi Jinga
------

Shukisha bana nayo nayo bana selekta
Chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
Cheza na rada cheza na rada ya warembo
Selekta selekta cheza na hio tempo

Shukisha bana nayo nayo bana selekta
Chunisha kinanda ibaki shabiki anateta
Cheza na rada cheza na rada ya warembo
Selekta selekta cheza na hio tempo

---
--

 

Watch Video

About Selekta

Album : Selekta (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 10 , 2021

More VDJ JONES Lyrics

VDJ JONES
VDJ JONES
VDJ JONES
VDJ JONES

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl