Dance Ikibamba Lyrics by VDJ JONES


Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!

Mimi ndio pedi wa mtaa
Mnanuna ni ka si tumeleta Corona
Amka mdance!
Unajua ni genje ni mbaya

(Mavo on the Beat)
Bruz Newton once again
Yoh Peter Scarlet, Padii!

Ka ni dance mimi ndio pedi wa mtaa
Nikitoa wote wanazitokaa
Ka ni dance wote walijaribu kutap
Mi ndio kanjo sasa hakuna tap

Eh VDJ Jones akaniita kwenye track
Gava inadai mi nivae mask
Nikae home sina hata kapesa ka gas
Niko njaa na siwezi mada verse

Nasahau mpaka niko njaa
Ngoma ikibamba ninakatika
Dance ikibamba, watu wote zimeshika
Wanakunja kiuno wakipiga guitar

Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!

Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!

Zinawashika kama mogoka
Mlivunjika nikiwapiga
Kina Latifa wanakulika kama mifupa
Unaingishwa tukitapika
Mmejificha tukilipuka ngoja

Moja, Mbili, Tatu

Dance inachezwa na watu, a few
Kabla ya saa moja, curfew
Hakuna kupiga chafia, ahchew
Ambulance, wiu wiu wiu

Nasahau mpaka niko njaa
Ngoma ikibamba ninakatika
Na ni watu wote zimeshika
Wanakunja kiuno wakipiga guitar

Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!

Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!

Dance tu, cheza ukiringa 
Cheza ukiringa
Dance tu, cheza ukiringa
Cheza ukiringa

Nasahau mpaka niko njaa
Ngoma ikibamba ninakatika
Watu wote zimeshika
Wanakunja kiuno wakipiga guitar

Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!

Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!
Dance ikibamba, katika!

Watch Video

About Dance Ikibamba

Album : Dance Ikibamba (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 07 , 2020

More VDJ JONES Lyrics

VDJ JONES
VDJ JONES
VDJ JONES
VDJ JONES

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl