MAANDY Sirudi Home cover image

Sirudi Home Lyrics

Sirudi Home Lyrics by MAANDY


Ukinicheki hivi nina shida kama soo
Kwa floor huwezi banju ju ya vile kumechrome
After kulegalise nasafisha na cologne
Nilipoteza key so siezi rudi home

Siezi rudi home, siezi rudi home
Nilipoteza key so siezi rudi home
Siezi rudi home, siezi rudi home
After kulegalise nasafisha na cologne

Matha ashanitext ati nisirudi home
Siku kama tatu niko Airplane mode
Ati ninalewa aje na sina doh
Pombe nikitaka nitapata bro

Nami sinanga chali so lazima ni operate
Mabeshte wangu headbad na sasa mi ni riet
Body con just haga set figa riet
Wochi ni mtiaji tutapita na gate

Na nimeongeza Lyft inanikimbiza ajab
Damu inachemka ka experiment chem lab
Hapo nje ya club nabugia mayai na kebab
Ati ndio zishuke alafu nipandishe tena

Ukinicheki hivi nina shida kama soo
Kwa floor huwezi banju ju ya vile kumechrome
After kulegalise nasafisha na cologne
Nilipoteza key so siezi rudi home

Siezi rudi home, siezi rudi home
Nilipoteza key so siezi rudi home
Siezi rudi home, siezi rudi home
After kulegalise nasafisha na cologne

Na si tulitesa, kesi najibu later
Na si tulitesa, kesi najibu later

Na niko kwa dancefloor natry tu kubanju
Alafu kimsee kinakuja nyuma yangu
Kumbe key nilisunda kwa bra
Nikasahau ju sikubeba bag na tenje iko kwa kiatu

Ka unapenda raha unajipenda fam
Na ata uko na stress ka ni form utakam
Niko na mbogi flani my crew my clan
Wanatambua kabaya hili jiji tutarun

Mi nataka tu slow whine
Na msee tu fulani mfine
Mali si ya chain ni ya mine
Zikinirindukia sio crime

Ukinicheki hivi nina shida kama soo
Kwa floor huwezi banju ju ya vile kumechrome
After kulegalise nasafisha na cologne
Nilipoteza key so siezi rudi home

Siezi rudi home, siezi rudi home
Nilipoteza key so siezi rudi home
Siezi rudi home, siezi rudi home
After kulegalise nasafisha na cologne

Watch Video

About Sirudi Home

Album : Sirudi Home (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 16 , 2020

More MAANDY Lyrics

MAANDY
MAANDY
MAANDY

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl