PSYCHO Hutia  cover image

Hutia Lyrics

Hutia Lyrics by PSYCHO


Hutia, eeh leo ni kushika na ku hutia
Kama ameweza mi nahutia
Amekill amenimada amenivutia
Eeh, hutia shika hutia

Hutia hutia shika hutia
Eeh amenimada amenivutia
Vutia vutia namhutia
Eeh, hutia

Hutia, nikimcheki roho hutulia
Shore mtamu namchumia
Ni kama vela namepuliza
Ju mi huota tu daily akinikujia

Na roho yangu ameniibia 
Cheki sa amenigeuza sa namuimbia
Pale chini mi napenda ukiniwhine-ia
Songea karibu ata sativa nitakuwashia

Ju hio saliva ukieza nipa nitafurahia
Gal, we ni wangu nitakulalia
Hata bakora yangu unaeza ikalia
Hao wengine itabaki wametuanglia

Ameniroga nibehave kama chizi
Ananishow ati tucheze kabaridi
Kwanza nikembe kembe dunga hako kamini
Haki sijui Nduati mi nifanye nini

Hutia, eeh leo ni kushika na ku hutia
Kama ameweza mi nahutia
Amekill amenimada amenivutia
Eeh, hutia shika hutia

Hutia hutia shika hutia
Eeh amenimada amenivutia
Vutia vutia namhutia
Eeh, hutia

Hutia, we ni msexy nafeel kukundandia
Uko na macho ndogo sexy unanivutia
Napenda vile leso umenifungia
Ka miauch na miguu nitakakwamilia

Utamu yako beb mi ndio najua
Na pia we unajua vile we hukukunja
Stori za kulamba jo we kata
Siku hizi kulamba tuliachia mafala

Wako studio manze bado wanapandana
Umebeba excess mi ni polisi
Lazima tu nikuweke ndani
Kam karibu nikupige rungu 

Upige nduru nitoe stingo zangu za nugu
Hadi usahau ule boi wako wa nguvu
Uniote mkiwa na yeye usiku
Hutia, hutia

Hutia, eeh leo ni kushika na ku hutia
Kama ameweza mi nahutia
Amekill amenimada amenivutia
Eeh, hutia shika hutia

Hutia hutia shika hutia
Eeh amenimada amenivutia
Vutia vutia namhutia
Eeh, hutia

Nampigia nayo nayo kwa keja
Mi nadandia nampiga
Kuni mpaka kunanukia hutia
Mi hupenda zikiwaka zikinukia

Vessel biggy wabawaba zimetulia
Mrembo ameiva hapo kando namkatia
Rosto baridi ikizidi mi naingia
Kuna njia nina nia ya kupitia riba mingi

Bado izo nitawapatia
Ukilalisha utajipata hapa we ndo mkia
Kuna mzinga, zote zote pia beer
Zile tamu sana sana ka dania
Zile tamu sana sana ka dania

Hutia, eeh leo ni kushika na ku hutia
Kama ameweza mi nahutia
Amekill amenimada amenivutia
Eeh, hutia shika hutia

Hutia hutia shika hutia
Eeh amenimada amenivutia
Vutia vutia namhutia
Eeh, hutia

Kelxfy

About Hutia

Album : Hutia (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 16 , 2019

More PSYCHO Lyrics

PSYCHO
PSYCHO
PSYCHO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl