Tam Tam Lyrics
Tam Tam Lyrics by PETER BLESSING
Tam Tam Tam Tam
Tam Tam Tam Tam
Nahisi niko juu sina stress
Akilini niko fresh
Kwa Mungu wangu juu sina kesi
Nahesabu tu mabless
Ananibembeleza mtoto (Ayee)
Aelewa zangu ndoto (Ayee)
Nijapoteleza kidogo (Ayee)
Aninyanyua si uongo (Ayee)
Kupendwa jamani (Tam Tam Tam Tam)
Mimi nawe (Tam Tam Tam Tam)
Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam)
Baba (Tam Tam Tam Tam)
Mmmmh (Tam Tam Tam Tam)
Kupendwa na wewe (Tam Tam Tam Tam)
Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam)
Baba (Tam Tam Tam Tam)
Wengine mapenzi yao, si kamili ngumu roho zao
Nilinde kwa vita vyao kila wakati we yangu ngao
Yesu we wangu dakitari uniepushe zao sumu kali
Watamba kila mahali, hata wasojali wanahabari
Kupendwa jamani (Tam Tam Tam Tam)
Mimi nawe (Tam Tam Tam Tam)
Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam)
Baba (Tam Tam Tam Tam)
Mmmmh (Tam Tam Tam Tam)
Kupendwa na wewe (Tam Tam Tam Tam)
Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam)
Baba (Tam Tam Tam Tam)
Mimi nawe (Tam Tam Tam Tam)
Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam)
Baba (Tam Tam Tam Tam)
Mmmmh (Tam Tam Tam Tam)
Kupendwa na wewe (Tam Tam Tam Tam)
Siku zote nawe (Tam Tam Tam Tam)
Baba (Tam Tam Tam Tam)
Kama sio upendo wake singekuwepo
Kama si huruma zake, singekuwepo
Ndio maana nampenda, uuh aah nampenda
Nampenda nampenda
Watch Video
About Tam Tam
More PETER BLESSING Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl