Nipende Lyrics
Nipende Lyrics by PETER BLESSING
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Siku nyingine tena umenipa
Kusifu sina budi
Hata niende wera hunilinda
Si yangu makusudi
Jinsi nilivyo si nguvu zangu ni neema
Ningekuwa siko ama zamani nishaenda
Pakavu chemichemi we bado uko nami
Mengi sisemisemi we wangu hodari
Ukinituma mbali
Nitaenda bila kusita sitacomplain
We ndo wangu mwandani
Sitoweza kukunja ndita nitamaintain
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Daddy umenitoa mbali sina mengi
Pokea shukurani samahani
Naomba kibali nifikie wengi
Wajue we ni nani
Ni wewe kutoka jana, na leo unatawala
Nitakusifu usiku mchana
Milele yote we wang'ara
Ukinituma mbali
Nitaenda bila kusita sitacomplain
We ndo wangu mwandani
Sitoweza kukunja ndita nitamaintain
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Nipende, nipende baba nipende
Watch Video
About Nipende
More PETER BLESSING Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl