I Don't Care Lyrics by TIMMY TDAT


Can I get a one dance 
Before you go back to your boyfriend (One dance)
Can I get a one dance 
Before you go back to your boyfriend (One dance)

Anacheza karati, I don't care
Ana namba za mandata, I don't care
Kwa washikaji zake wamepinda, I don't care
Ah mi a man, I don't care

Alikuwa aende home she is not boarding
Anajua ni big deal badboy landing
Asubuhi haijafika baby girl morning
Anasakanya hewa baby girl yawning

Ni ka artist kanajua kuchora saba
Kepesi kanajua kupika sapa
Ka njugu nakadishi na maganda
Anajua kushika chuma nakashuku ni makanga

See ananiita nasikam, anageuka na si-turn
Pepeta na si fan, ninatafuta sifa
Kasabun tuma pinga, unalipisha mapinga
Vitu zangu refu ndo naikeep hiyo distance

Anacheza karati, I don't care
Ana namba za mandata, I don't care
Kwa washikaji zake wamepinda, I don't care
Ah mi a man, I don't care

Shawty she got a full designer
Juu mpaka chini designer
Unaanza kumuogopa ki hyena
Tayari nimeshadata kiyai na

Baby girl macho pinda unawinda?
Baby game ninataka kushinda
Naskia kuna wanga wanawinda
Dancefloor -- inawinga

Wikidi wikidi baddy you party harder
Mi najitoa fahamu watajimada
Saa akicheka kanata nakwara namba
Anasema anapenda kuimba imejibamba

Nakavuta kwenye dinga eeh
Chocho za kujiiba eeeh
Usikae unanilinda eeeh
Wakileta kwere nakafundisha kuimba

Anacheza karati, I don't care
Ana namba za mandata, I don't care
Kwa washikaji zake wamepinda, I don't care
Ah mi a man, I don't care

Wanaposema sijali, mi kidume mi jani
Na misuli hatari, nawawasha ka nari
Kifupi nawapekecha pekecha, wana nini?
Na kisha nawaogesha ogesha tu kwa ndimi
Na bado nina bang kwa swagga zangu za ndimi
Na bado niko moto sijui napoa lini

Go in buda na huu ndio wangu muda
Sina time na wakuda wanakunja
Wanadunda, wamedunda

Mara wanasemaga napiga gym (I don't care)
Sura chachu kama kamelamba ndimu (I don't care)
Kusoma hakajui hakana elimu (I don't care)
Napata vijambo jamno na vitu adimu (I don't care)

Can I get a one dance 
Before you go back to your boyfriend (One dance)
Can I get a one dance 
Before you go back to your boyfriend (One dance)

Anacheza karati, I don't care
Ana namba za mandata, I don't care
Kwa washikaji zake wamepinda, I don't care
Ah mi a man, I don't care

(Its Amado on the Beat)

Watch Video

About I Don't Care

Album : Bonke the EP/ I don't Care (EP)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Kasabun
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 31 , 2020

More TIMMY TDAT Lyrics

TIMMY TDAT
TIMMY TDAT
TIMMY TDAT
TIMMY TDAT

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl