Bazenga Daddii Lyrics
Bazenga Daddii Lyrics by BREEDER LW
Bazenga dadii, Bazenga dadii
Yeah Bazenga dadii yeah
(Motif Di Don)
Hizi mitaa wauniita (Bazenga dadii)
Hadi wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii)
Step out all eyes on (Bazenga dadii)
Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Yaani fresh to the bone mi ni (Bazenga dadii)
Wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii)
Step out all eyes on (Bazenga dadii)
Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Bazenga dadii hio ni title ya kibudaa
So bani apewe red card ka niko grao nawachuja
Vile navima na sijaguzanga dumba
wakisema Breeder sio star hio ni rumour
Pengting beside me
Ye hushindaga Tiktok alisare IG
Wazing uuptown downtown hudai me washika
Washika na ma bigtune, hii ni ya Motif sikosi
Mabrama na ki lighter kwa pori (Pori)
Nawasha na kumedi nikiwa lonely (Lonely)
Boss man najua ma biggy Syoki
Wale keja zo ndani kuna hosi
Juu ni biggy
Msupa namchizisha na ma quickie
Kutoka rookie nisha geuka MVP
Iko nini wacha ni zidi kuzidi
Bazu ni Gwiji
Hizi mitaa wauniita (Bazenga dadii)
Hadi wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii)
Step out all eyes on (Bazenga dadii)
Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Yaani fresh to the bone mi ni (Bazenga dadii)
Wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii)
Step out all eyes on (Bazenga dadii)
Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Ka ni cheap talk sinaga idhaa
Tubonge ganji ndio inadai na inafaa
Cologne flani utainusa from a far
Kladi za waadhi zimetoka Vietnam
Make a toast cause we finally made it
Maziwa mingi kama ng'ombe za gredi
Magaldem hunipaga hedi jegi
But usinyonye sana si utafanya nidedi aah
Mi niko Dago hapo Race magizani
Eastlando hadi ndani nina machaji
Weekendi nayo tuimaliza na makali
Suma ni ngware na rauka na kihang'y haa
But I be fresh to death
Fika bei buda ka unadai connects
Aah mi ni MC na bado ngoma wavy
What you see is what you get
Hizi mitaa wauniita (Bazenga dadii)
Hadi wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii)
Step out all eyes on (Bazenga dadii)
Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Yaani fresh to the bone mi ni (Bazenga dadii)
Wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii)
Step out all eyes on (Bazenga dadii)
Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Ka uko janta kila siku (We ni bazenga)
We unakulaga za kwako (We ni bazenga)
Ka ni luku piga safi (We ni bazenga)
(We ni bazenga) (We ni bazenga)
Day one sijawai watupa (We ni bazenga)
Na wasoro unachorea (We ni bazenga)
Kupiga hesabu umezoea (We ni bazenga)
(We ni bazenga) (We ni bazenga)
Hizi mitaa wauniita (Bazenga dadii)
Hadi wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii)
Step out all eyes on (Bazenga dadii)
Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Yaani fresh to the bone mi ni (Bazenga dadii)
Wazing na mapeng huniita (Bazenga dadii)
Step out all eyes on (Bazenga dadii)
Eeeh (Bazenga dadii) Yeah (Bazenga dadii)
Watch Video
About Bazenga Daddii
More BREEDER LW Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl