
Kautamu Flani Lyrics
...
Kautamu Flani Lyrics by BENSOUL
Nimeguzwa mahali na kautamu Fulani
Papa Soul vijana Barubaru
Ukinipanda huwezi shuka shuka
Hii kitu hauwezi ruka ruka
Kutoka haiwezekani honey
Kwangu ni kwako ndaani
Ata ufungwe shuka shuka
Wakushuke matuta tuta
Nakuoneanga mbali mimi ndio mwenye mali
Nataka tabibu anitibu ju mwalimu hana jibu
The way you smile you ignite my soul
Nipe your time your body and soul
Ona majaribu ya usiku unainama sina nguvu
Mwenzako sina hali hali hali
Usiende mbali mbali oooh
Nimeguzwa mahali na kautamu Flani
Na kama ni wewe ongeza mpaka nilewe
Utulivu wa bahari, kautamu flani
Na kama ni wewe ongeza mpaka nilewe
Nilewe ye (nilewe)
Nilewe ye (nilewe)
Nilewe ye (nilewe)
Nilewe, nilewe
Nilewe ye (nilewe)
Zangu zikishuka nakuita unalift my mood
Umeniteka na umekwama kwangu
Nikiwa mavitu nipe vitu zangu
Zangu haziezi shuka, you complete upumbavu wangu
Mama mia, tumia mamia zangu
What a sight I got my eyes on you, on you
I close my eyes now, akilini nawaza furaha ntaipata vipi
Meza yangu inahitaji viti
I speak my heart, nimekosewa na my human pride
Na nimeona vile love is blind
I pray to God, nisimiss my sign when love comes my way
Nataka tabibu, anitibu ju mwalimu hana jibu
The way you smile you ignite my soul
Nipe your time, your body and soul
Ona majaribu (majaribu)
Ya usiku, unainama, nasimama
Mwenzako sina hali, usiende mbali (oooh)
Nimeguzwa mahali na kautamu Flani
Na kama ni wewe ongeza mpaka nilewe
Utulivu wa bahari, kautamu flani
Na kama ni wewe ongeza mpaka nilewe
Nilewe ye (nilewe)
Nilewe ye (nilewe)
Nilewe ye (nilewe)
Nilewe, nilewe
Nilewe ye (nilewe)
Watch Video
About Kautamu Flani
More BENSOUL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl