Mpaka Chini Lyrics
Mpaka Chini Lyrics by NONINI
Nonini ft. Prezzo - Mpaka Chini
Baas (baaas)! Baas (baaas)
Baas (baaas) Mocco …
[CHORUS]
Baas pinduka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
[VERSE 1]
Mpaka chini, Tunakwenda kusini
Mzuka za Nonini, Wasupa bikini
Katika na mimi zungusha ka mwili
Vijana wanachizi mabuda mafisi
Fresh, unanukia nini
Bless, umejibeba mingi
Piga magoti tunavua makoti
Tunapiga mapozi, looks za kidosi
Baas pinduka, twende mpaka chini
Tutishe mujini washindwe ni nini
Vunja magoti nikirusha manoti
Tunavuta mamoshi watu wananyoji aah
Fanya ni kama wewe huna adabu
(Wewe huna adabu)
Peleka mpaka wapoteze fahamu
(Wapoteze fahamu)
Wagenge ndani ya wote nyumba walewekwee
Walewekwee
Wasupa wote ndani ya nyumba baas waletwe
Baas waletwe
[CHORUS]
Baas pinduka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
[Verse 2]
Kidogo unanimaliza kabisa
Ukishusha pandisha
Me wani tamanisha mami
Kidogo naeza guzisha guzisha
Ukishusha zungusha
Me wa nichanganisha (aaah)
Siogopi gharama me hufika bei
Kama ni sherehe me hupik everyday (aaah)
Nakata shinda Timmy na wembe
Kitoto kiko juu kushinda ndege
Utamu zaidi ya achari ya maembe
Kitu soft ikisonga, utamu wa tende
Bora tukikuwa down ni mrefu tu sana
Tukisimama na wewe (huh) tunatoshana
Mara si jasho mwili zikigongana
Mwili zikigogana
Magenge zile zetu za kuchotana
Zile za kuchotana
Juu kwa juu niku bana mtoto (mtoto)
Chini kwa chini ni kulamba lolo
Lo (lamba lolo)
[CHORUS]
Baas pinduka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
Baas pinduka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
[Verse : PREZZO]
Yes, figure namba nane nimekubali ma
Hao wawili nyuma unavyo watingisha
Macho nimekodoa utadhani mi ni kichaa
Nikikucheki uki dondo dondosa
In a nutshell agenda ni moja
Piga magoti we ndo nangoja
Sigongi ukuta we ndo ntakuta
Baas pinduka ma, shika ukuta
Wanifanya nijiskie kama carpenter
Cheki nilivyombao
Wanifanya nijsikie kama Boxer
Mayweather Nikimada iyo rao
Cheza kwa maringo
Cheza kwa madharau
Anguka tu na wimbo tunawamada kwao
Cheza kwa maringo
Cheza kwa madharau
Anguka tu na wimbo tunawamada kwao
[CHORUS]
Baas pinduka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
Baas inuka twende mpaka chini (mpaka chini)
Vunja magoti twende mpaka chini (mpaka chini)
Pinduka twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
Vunja magoti twende mpaka chini (aaaah aaah aaah)
Mpaka chini
Kidogo unanimaliza kabisa
Ukishusha pandisha
Me wani tamanisha mami
Kidogo naeza guzisha guzisha
Ukishusha zungusha
Me wa nichanganisha (aaah)
Watch Video
About Mpaka Chini
More NONINI Lyrics
Comments ( 2 )
Magenge zile zetu za kuchotana Zile za kuchotana Juu kwa juu niku bana mtoto (mtoto) Chini kwa chini ni kulamba lolo Lo (lamba lolo)
Magenge zile zetu za kuchotana Zile za kuchotana Juu kwa juu niku bana mtoto (mtoto) Chini kwa chini ni kulamba lolo Lo (lamba lolo)
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl