ETHAN MUZIKI Kesho Kutwa (Acoustic Version) cover image

Kesho Kutwa (Acoustic Version) Lyrics

Kesho Kutwa (Acoustic Version) Lyrics by ETHAN MUZIKI


Kwangu kujua na kukua
Ni lengo la kila kukisha tua
Hivyo hata ukinizungusha
Sioni shida, utanifundisha

Wakaribu wanatambua
Saa zingine maneno hunisumbua
Huwa yanikataa
Huwa yanihadaa

Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Na nitapita yie
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika

Hata Kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Hata kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana

Wewe unanijua, gizani umenitoa
Sikudhani ningetoboa
Ni Mara ngapi nilikwama? 
Ni Mara ngapi? Umechagua niwe na we'! 

Na siezi ngoja kwenda kwenye goti
Nikuvishe pete dunia i-notice

Vile ninapaa, ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Na nitapita yie
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika

Hata Kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Hata kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana

Ooh, I promise to love you
You inspire me
You.... 

Oh yes, oh yes, oh yes! 
We've given love a chance
Niwe na we', na we'!
(love is always in us) 

Sometimes we fall in love 
Love us always in us
Sometimes we fall in love
Love is always in us

Hata Kesho Kutwa, 
Na Usiku... Na usiku
Kesho, kesho, kesho! 
Na usiku, tutapenda

Watch Video

About Kesho Kutwa (Acoustic Version)

Album : Kesho Kutwa (Acoustic Version) (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 18 , 2021

More ETHAN MUZIKI Lyrics

ETHAN MUZIKI
ETHAN MUZIKI
ETHAN MUZIKI
ETHAN MUZIKI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl