Hapa Lyrics
Hapa Lyrics by TIMMY TDAT
So nishike wapi babe (Hapa)
So nishike wapi babe (Hapa)
Nishike wapi babe (Hapa)
Hapa na hapa
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Hapa na hapa
Girl you are - me read your beauty
Can I get some of the quality to this cutie
Ananipa kiti eti mi ndo mwenyekiti
Chairman mi ndio nakaa fiti
Macho zako fiti manze you ni good looking
Nitalipa depo manze kama kuna booking
Vile umeiva manze no more cooking
Nishakupata so no more looking
Uko na -- la pili si ka sexual healing
Missionary baby girl face ceiling
Change position hebu jaribu kneeling
Umejaza poa hii ndo nice experiece
So nishike wapi babe (Hapa)
So nishike wapi babe (Hapa)
Nishike wapi babe (Hapa)
Hapa na hapa
Nitakupa wapi baby (Hapa)
Nitakupa wapi baby (Hapa)
Nitakupa wapi baby (Hapa)
Hapa na hapa
[Ssaru]
Eyo Timmy bomb bomb killer come give me
Do the dirty whine me nah fine gyal can see me
Dance to the floor nimekuja na kamini
Crop-top ndio form ndio usorore kipini
Do do Dubai twende shopping ya Gucci
Ku ku kuwai ilibidi nifanye bookings
Mi staki chai babe mi nataka suchi
Na tufike Nai tuwafunze Isukuti
Nitakupa amani sio vita
Ju mi huwa sina visa
Nataka tu tuchill tu kwa keja na mambichwa
Ukishikwa na munchies hapo kuna pizza
Ukidorora dorora nakupatia ka teaser
Tunapull up ku voom vooom kimaster
Picha zako mi nazoom zoom na data
Kama ni watoto mi nitakupa tupacha
Alafu baby hio chum chum nataka
So nishike wapi babe (Hapa)
So nishike wapi babe (Hapa)
Nishike wapi babe (Hapa)
Hapa na hapa
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Hapa na hapa
So kumbe we Mtaveta jo ndio maana we mtight
Kumbe we Mtaveta jo ndio maana we Mtaita
So kumbe we Mtaveta jo ndio maana we mtight
Kumbe we Mtaveta jo ndio maana we Mtaita
Kabaridi kanatamba mi ndio murder
Na wanapanic wanaogopa kushandwa
Mdogo mdogo tu nakuja kuwapanga
Bumper to bumper wangu hasongi further
Nakupeleka TZ pale kwa Border Namanga
Narudi Kasabuni yaani nakata na panga
Nakumurder so napanga matanga
Nakuchoke manze prrr
Mi ni Mtaita na yangu jo ni tighter
Ninaleta nare mpaka umetupa lighter
Sijawai jua unakuwanga jo Mtaita
Unaleta nare hata nimetupa lighter
So nishike wapi babe (Hapa)
So nishike wapi babe (Hapa)
Nishike wapi babe (Hapa)
Hapa na hapa
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Nitakupa wapi babe (Hapa)
Hapa na hapa
So kumbe we Mtaveta jo ndio maana we mtight
Kumbe we Mtaveta jo ndio maana we Mtaita
So kumbe we Mtaveta jo ndio maana we mtight
Kumbe we Mtaveta jo ndio maana we Mtaita
Mi ni Mtaita na yangu pia ni tighter
Tight tighter
Mi ni Mtaita na yangu pia ni tighter
Tight tighter
(It's Hammado on the beat)
Watch Video
About Hapa
More TIMMY TDAT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl