Mabazenga Lyrics
Mabazenga Lyrics by TIMMY TDAT
Issa badman ting
Td@t ting, Kasabun in
Alright, TTT to double M
Tdat aka de gyaldem dot com
(Mavo on the Beat)
Anapenda mabazenga sio mavijana
Sio mavijana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Anapiga simu yangu usiku na mchana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Sio mavijana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Daily phone inaring usiku na mchana
Anajua mi ni mnyama kwa sai nadai zoo
Mi husmokingi purple dunia ikibrong blue
Mi ni street mi ni Chokosh kwa sai nadai glue
Na mapenzi ishaniumiza kwa sai sidai boo
Ka unanipe unipe bora usifall tu
Ka unapenda sh*t yangu basi nifollow basi kwa loo
Ukinipea space nitakupeleka kwa moon
Na kifua inasema time kwanza vile iko noon
Anapenda namba saba so namkimbiza kwa wing
Ata aniite mara saba siezi come quick
Kama siku zote saba maze me na make week
Na ni moto anataka so mi fire na bring
Ananikunywa akiniita T
Mi nampunish ju mi ndio daddy
Leta madingoingo apa mi ndio maddy
Yuko addicted mi ndio nadeal
Anapenda mabazenga sio mavijana
Sio mavijana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Anapiga simu yangu usiku na mchana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Sio mavijana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Daily phone inaring usiku na mchana
So baby acha missionary sasa ride bike
Venye ananifinya ni official venye ananitight
Sijaanza ndo nimeland kwa thigh
Nakula nyama mbichi and don't ask me why?
Nipe kichwa nipate wisdom
Warm lips zangu sikukam na kandom
Peremende bila paper hajiskii na con
Nikiturn ananikumbusha Gomora na Sodom
Ile kiuno uko nayo manzee siwezi waste
Hii naimurder manze iwe the late
Kabla apate better manze mi ndio the best
Na akikwom sana najua kuregulate
Ka Huduma Number mmmh bado sikuji
Aliye juu mfuate huko bado sishuki
Ni kaa tunaenda Ronga hii journye si fupi
Na mi si wa Nakuru so paka sikuli
Anapenda mabazenga sio mavijana
Sio mavijana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Anapiga simu yangu usiku na mchana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Sio mavijana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Daily phone inaring usiku na mchana
Ojende dwanyore, ojende dondore
Ojende ywayore, ojende deanyore
Ojende dwanyore, ojende dondore
Ojende ywayore, ojende deanyore
Anapenda mabazenga sio mavijana
Sio mavijana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Anapiga simu yangu usiku na mchana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Sio mavijana
Anapenda mabazenga sio mavijana
Daily phone inaring usiku na mchana
Watch Video
About Mabazenga
More TIMMY TDAT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl