Mpaji Lyrics

PETER BLESSING Kenya | Gospel,

Mpaji Lyrics


Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji

Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji

Baraka zako hakika ah
Hazina kujuta ah
Mapenzi yako ya dhamani
Wala si ya kubahatisha ah

Wewe ndo muumbaji wetu eeh
Na unajua siri zetu eeh
Kwenye milima na mabonde eeh
We ndo mwelekezi wetu eeh

Hii mali yote ya duniani
Ni ya muda inapita jamani
Na wengi wapatapo mitihani
Huwa na kusahau mwenyezi

Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji

Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji

Baraka zako zinadumu
Hazina hukumu
Baraka zako zinadumu eeh
Hazina hukumu

Tena za milele
Hazina kilele
Tena za milele eeh
Hazina kilele

Hii mali yote ya duniani
Ni ya muda inapita jamani
Na wengi wapatapo mitihani
Huwa na kusahau mwenyezi

Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji

Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji

Wewe ndo muumbaji wetu eeh
Na unajua siri zetu eeh
Kwenye milima na mabonde eeh
We ndo mwelekezi wetu eeh

Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji

Mola ndo mpaji
Mola ndo mpaji
Iye eeh wengine watiaji
Iye eeh Mola ndo mpaji

PETER BLESSING (3 lyrics)

Peter Blessing Singer,Performer and Song Writer from Taita Taveta County. Discovered by Bahati. His  first ever song release NASUBIRI BADO was released under  EMB Entertainment.

Leave a Comment