Tucheze Lyrics by CITYBOY


I say we are baddem 
City Boy, Country Boy East Africa baddem
Pretty girls wanna whine for me as we baddem
Kiwepesi am the king with the boys we baddem

Jinsi nitakavyo anza hii
Utafeel City nimechizi kuwania country hii
Inabidi veve shash moja moja mitungi
Si ngeli kuchanganyika na wazee wa pande hii

Wa Odi ama mavitu za Cardi B
Zitingike tingike hapa ndani mpaka zisimbi
Madini yachimbike kisonara City ndio fundi
Milima nipange tena mikwarashe ki jopadi jopadi

Njoo kata ki-Latino
Kwako nimeshapata ni kumwaga wino
Ni mitoko toko mimi gogo simo
Cheza kilipopo ya ki-Ronaldinho

Ama simo, kata ki Latino
Huku nimeshapata ni kumwaga wino
Ni mitoko toko mimi gogo simo
Cheza kilipopo ya ki-Ronaldinho

Weka glasi chini tuche-tuche-tuchezee
Leo tupo mpaka kuche-kuche-kuche mzee
Weka glasi chini tuche-tuche-tuchezee
Leo tupo mpaka kuche-kuche-kuche mzee

Okey listen I have a rap pretty banger
Flow kama izo toto ndo anapenda
Vitu flani vinakaa mihenga flow
Usimind toka Dar mpaka Kenya oooh
Watoto fulani kiutaa melanin
Wacheni waje huku and better be
They kill, they kill, they killing me
They feel, they feel am glad you feeling me

Watoto wakali(Yeah georgeous)
Leo tuko hapa yeah yeah(I thought I told yah)
Kuso kuteka yaani obvious
Leo tuko bie, bie, bie

Kata ki Latino
Huku nimeshapata ni kumwaga wino
Ni mitoko toko mimi gogo simo
Michezo kilipopo ya ki-Ronaldinho(Ama simo)

Kata ki Latino
Huku nimeshapata ni kumwaga wino
Ni mitoko toko mimi gogo simo
Michezo kilipopo ya ki-Ronaldinho(Ama simo)

Weka glasi chini tuche-tuche-tuchezee
Leo tupo mpaka kuche-kuche-kuche mzee
Weka glasi chini tuche-tuche-tuchezee
Leo tupo mpaka kuche-kuche-kuche mzee

Watch Video

About Tucheze

Album : Tucheze (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 CityBoy Ent
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 12 , 2019

More CITYBOY Lyrics

CITYBOY
CITYBOY
CITYBOY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl