Nipe Yote Lyrics
Nipe Yote Lyrics by CITYBOY
[Verse 1: CityBoy]
One of a kind she soo pretty Angel
She wanna Spend all her life with me
Amenigusa amenijaza Maupendo
Amenishika ata Moyo sisikii
[Chorus:Gnako]
Ananibania, ananiachia
Akinipa Kidogo Mi nachanganyikiwa
Ananibania, ananiachia
Akinipa Kidogo Mi nachanganyikiwa
Nipe Yoo Yoo Yoo Tee
Nipe Yoo Yoo Yoo Tee (Maama)
Nipe Yoo Yoo Yoo Tee
Nipe Yoo Yoo Yoo Tee (Maama)
Verse2 (CityBoy)
Your beauty make a Byad Man
Demi Cross dia Boarder
I go risk carry Thorns in Mi Shoulder
Make a Likkle Likkle Dance Basi Niakaenjoy Kabody Body (BreBeDemBem)
The way you wine Basi Pole pole kaa wanikoroga ,
Tunguli za mchana Gyal umeniroga..
Nami mwili mzima ninavyotetema
Nipo Hoi Hoi (BrebendemMbem)
Gyal from America
Smile like Rihanna
Nilipokukuta, haikuwa Kesho Kujuaana
Moyoni mwangu umefika
Like My Banana
Watch Video
About Nipe Yote
More CITYBOY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl