Patikana(Katika Parody) Lyrics
Patikana(Katika Parody) Lyrics by FRED OMONDI
Yeah yeah
yeah yeah yeah nor yeye
Yeah yeah
yeah yeah yeah nor yeye
Nimepatika patikana
Patika patikana
Nimepatika patikana
Nilienda cheza rhumba
Teingi kati kidogo
Mifuko nina mabunda
Njoro akaja na Cynthia, ni yeye
Akaenda choo oh oh oh
Akawaongeza more oh oh oh
Akainama ni yeye Claire
Akitingisha kanungo oh oh oh
Akani-winkia one time(ni yeye)
Akanifeel videadly(ni yeye)
Akasema duka hajafunga(ni wazi)
Mali kibao nitapata, twendeko
Akani-wink ia one time(ni yeye)
Akanifeel videadly(ni yeye)
Akasema duka hajafunga
Achwade palala lala lala
Nimepatika patikana
Patika patikana
Nimepatika patikana
Nimepatika patikana
Patika patikana
Nimepatika patikana
Okey arrup
Si ulikafunga vindii,
Duka ndi ndi ndi
Nikaumia tu mi mi mi
Campus ata we Roysambu mbu mbu
Kaomba shisha ashikishe tu
Nikahisi nikatambe
Ana nyege ka karao
Akarambo na kanambo
Kanipa namba kimpango
Kaweka mchele pombeni
Kanifanya kobe
Nikapoteza fahamu
Kadhani ni wewe
Baby don't go oh oh oh
Utaniumiza roho oh oh oh
Wangu maembe dodo oh oh oh
Tutaishi mlongolongo oh oh oh
Ona wee wewe unanikemea(kemea)
Na we ulinichezea(chezea)
Wacha we kunitetesha(tetesha)
Cheki alikupiga wembe
Nimepatika patikana,
Patika patikana
Nimepatika patikana
Nimepatika patikana,
Patika patikana
Nimepatika patikana
Maumivu naugulia
Kichwa umegonga nahisi hangover
Na damu inatiririka
Dhiki moyoni nimepata mtetemo
Na una nini kwa mkono joh(mawe)
Umemgonga kisogo joh(mawe)
Na una chocha maporojo(nawe)
Ka ni mkwanja anazo joh(nawe)
Uwache kumkelele lelesha
Uende dinner hata Kileleshwa
Na duka tena usiwai funga
Umpe lolo na msonge mbele
Mkalaze kwa bedi mbonge(katambe)
Akupigishe randa(katambe)
Na una body kinyama(katambe)
Burungo zitambamba(katambe)
Hatapatika
(The Omondi's)
Hatapatika patika eeh
Patika patika eeh
Hatapatika patika eeh
Patika patika eeh
Watch Video
About Patikana(Katika Parody)
More FRED OMONDI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl